Kwani tukiacha madirisha haya ya aluminiam na PVC, ndiyo kusema sisi hohehahe hatuna madirisha yetu mengine ya kisasa jameni?

Kwani tukiacha madirisha haya ya aluminiam na PVC, ndiyo kusema sisi hohehahe hatuna madirisha yetu mengine ya kisasa jameni?

Hili ndio suluhisho. Kuna Nyumba niliwahi kuona hii kitu. Wameweka na wavu wa kuslide kwa ndani ya dirisha
Yap, unaweza kuweka ya ku slide au kufunguka kawaida, mfano mimi napenda sana mbao, sijawahi vutiwa na aluminium hata kidogo, so ile frem ya dirisha gril zinakua katikati kwajili ya usalama, then nje ndio shatter za kioo, ndani shatter za wavu.
 
Ukiweza weka picha ya dirisha lahivyo tulione
 
Kati kati ya zile sliders mbili za vioo kuna upenyo mdogo, kwa mbu ni hallway ya mita 500

Ikifika saa 12 jioni inabidi ufunge, yawe sealed shut, la sivyo utalia, ndani panakua nje, bora hata nje

Ukifunga jiandae na 'suffocation' ya kutosha , ikifika saa 3 usiku uyafungue tena, ukisahau ukalala

iyoivyo bila 'AC' kuwa ON ( sio feni )

Kesho asubuhi jiandae na 'kizunguzungu'
Hii ndio sababu nayachukia madirisha haya na sitaweka nyumbani kwangu
 
Watu wanaonyesha kuchukizwa na aluminium windows lakini wanagoma kutupa mbadala wa madirisha hayo.
 
Sahihi kabisa ni ufala tu na kuishi kwa kukariri ... Ila sometime inasaidia kupunguza wizi.. hizi madirisha wanapuga jerk tu dadek.. kioo wanahofia krlele
 
Back
Top Bottom