Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu

Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa uchaguzi wa urais wote ni waislamu.Hii inaonesha sana waislamu ndiyo domination wa mpira wa Tanzania na sijui kwanini wati wa dini nyingine wanakaa pembeni je hawajui mpira ni nini? Hawajui kuongoza? Au hawajui chochote kuhusu Mpira?
 
Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpiranya kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizikufa timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu

Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa uchaguzi wa urais wote ni waislamu.Hii inaonesha sana waislamu ndiyo domination wa mpira wa Tanzania na sijui kwanini wati wa dini nyingine wanakaa pembeni je hawajui mpira ni nini? Hawajui kuongoza? Au hawajui chochote kuhusu Mpira?
Hawana kazi za kufanya
 
Wanamuziki maarufu wengi ni waislamu,
Wachezaji mpira wengi maarufu ni waislamu.
Waigizaji bongomovie wengi ni waislamu.

Matajiri wa Tanzania wengi ni waislamu,

Wafanyabiashara wengi ni waislamu,

Wasomi wa Kwanza Kwanza wengi ni waislamu

Wajanja wa mjini wengi wao waislamu.

Asilimia kubwa ya walioipatia Uhuru Tanganyika wengi ni waislamu.

Mabondia wengi waliongara ni waislamu

Mcheza kikapu wa Kwanza kuitoa kimasomaso ni muislam,

Wazamiaji na mabaharia wengi wa islamu

NB:kuna tofauti kubwa kuitwa au kupewa jina la kiislam na uislamu.
 
Nyerere aliwabania kwenye elimu wakaona wajikite kwenye Sanaa na michezo.
 
Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu

Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa uchaguzi wa urais wote ni waislamu.Hii inaonesha sana waislamu ndiyo domination wa mpira wa Tanzania na sijui kwanini wati wa dini nyingine wanakaa pembeni je hawajui mpira ni nini? Hawajui kuongoza? Au hawajui chochote kuhusu Mpira?
Kuna ajenda ya siri ilianza toka miaka ya 1992 kuakik8sha hakuna mbantu na mkristo kwenye matajiri wa tz lengo lilikuwa matajiri wote wawe waarabu na wahindi na waislamu....huu ni ukweli 100%
 
Shangilia timu ya mkoani kwako,asili ya Simba na Yanga ni Pwani ambako waasisi wengi ni Muslims,pia Wallace na Kidau, viongozi wakuu siyo Muslims,hata Bodi ya Ligi kabla ya wale wawili kujiuzulu,Steven Mguto siyo Muslim,ila aliyekuwa CEO Almas kasongo huyu sina uhakika naye......ila hizo timu mbili watu wa bara hazituhusu basi tu,ndiyo maana mara kibao wapo kwenye Dua
 
Back
Top Bottom