Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu

Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa uchaguzi wa urais wote ni waislamu.Hii inaonesha sana waislamu ndiyo domination wa mpira wa Tanzania na sijui kwanini wati wa dini nyingine wanakaa pembeni je hawajui mpira ni nini? Hawajui kuongoza? Au hawajui chochote kuhusu Mpira?
Acha kuwaza kwa misingi ya dini, kwani kuna aliyekatazwa kugombea? Mi mkristo ila nachukia wapumbavu km wewe, we ni wale wa shule za kata ndio umejichanganya sahv, kijana aliyezaliwa mjini hawezi kuwaza kishamba km wewe.
 
Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu

Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa uchaguzi wa urais wote ni waislamu.Hii inaonesha sana waislamu ndiyo domination wa mpira wa Tanzania na sijui kwanini wati wa dini nyingine wanakaa pembeni je hawajui mpira ni nini? Hawajui kuongoza? Au hawajui chochote kuhusu Mpira?
Mpira na sanaa ni shughuli zisizohitaji elimu. Wakristu hawawekezi huko maana kutoboa ni bahati nasibu, chances ni ndogo ukilinganisha na hazina ya kuwa na elimu
 
Back
Top Bottom