Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Hawana kazi za kufanyaWaislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpiranya kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizikufa timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu
Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa uchaguzi wa urais wote ni waislamu.Hii inaonesha sana waislamu ndiyo domination wa mpira wa Tanzania na sijui kwanini wati wa dini nyingine wanakaa pembeni je hawajui mpira ni nini? Hawajui kuongoza? Au hawajui chochote kuhusu Mpira?
Kwani Karia ni mkristu?Karia na kidau wamesilimu lini?
Nyerere aliwabania kwenye elimu wakaona wajikite kwenye Sanaa na michezo.Wanamuziki maarufu wengi ni waislamu,
Wachezaji mpira wengi maarufu ni waislamu.
Waigizaji bongomovie wengi ni waislamu.
Matajiri wa Tanzania wengi ni waislamu,
Wafanyabiashara wengi ni waislamu,
Wasomi wa Kwanza Kwanza wengi ni waislamu
Wajanja wa mjini wengi wao waislamu.
Asilimia kubwa ya walioipatia Uhuru Tanganyika wengi ni waislamu.
Mabondia wengi waliongara ni waislamu
Mcheza kikapu wa Kwanza kuitoa kimasomaso ni muislam,
Wazamiaji na mabaharia wengi wa islamu
NB:kuna tofauti kubwa kuitwa au kupewa jina la kiislam na uislamu.
Wakristo wenye kazi ya kufanya ndio ambao wengi mmetajwa kwenye ufisadi na wizi kwenye nchi hiiHawana kazi za kufanya
Porojo..Wakristo tuko bize na kutafuta hela, hatuwezi kuwa viongozi wa taasisi za ovyo ovyo!!
Tunauza pombe...Porojo..
Mbona bado hata wenye viwanda vikubwa ni waislam nyie mnaotafuta hela kisha ikawaje?
Au basi nimeshajua najibizana na mtu wa aina gani chief.Tunauza pombe...
Kuna ajenda ya siri ilianza toka miaka ya 1992 kuakik8sha hakuna mbantu na mkristo kwenye matajiri wa tz lengo lilikuwa matajiri wote wawe waarabu na wahindi na waislamu....huu ni ukweli 100%Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu
Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa uchaguzi wa urais wote ni waislamu.Hii inaonesha sana waislamu ndiyo domination wa mpira wa Tanzania na sijui kwanini wati wa dini nyingine wanakaa pembeni je hawajui mpira ni nini? Hawajui kuongoza? Au hawajui chochote kuhusu Mpira?