Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

Kama st.anne mari
Acha kuwaza kwa misingi ya dini, kwani kuna aliyekayazwa? Mi mkristo ila nachukia wapumbavu km wewe, we ni wale wa shule za kata ndio umeiichanganya sahv, kijana aliyezaliwa mjini hawezi kuwaza kishamba km wewe.
e ya kimara ni shule ya kata sawaejo
 
Wanamuziki watano wa kikobazi tafadhali
 
World wide tafadhali....huoni unajidhalilisha na mada Yako dhaifu.
 
World wide kuna Ronaldo, Messi....wakristo wako juu Kila kitu Dunia hii...me ni shekhe lkn hili naliona.
Matajiri Duniani Elon musk, bill gate na wengine wa juu...mataifa yenye nguvu USA, UK, FRANCE...wakimbizi kibao wa Muslim wanakimbilia Kwa makafiri...
Technology Bado, vita, mabodia, marathon Kila aspect Christian Wana run dunia
 
Watanzania tuna laana ya udini. Yani udini ndio tumeweka mbele kuliko utu. Ndio maana wabunge wanatudharau wanatuiata kenge tusiojitambua.
 
Mikoa mingi yenye idad kubwa ya waisilam ndiyo inapenda mpira wa tanzania. Mfano Dar,Morogoro,Tanga,. Mkoa wenye wakristo wengi wanaopenda mpira wa tanzania ni mbeya. Data don't lie
 
kasongo muislamu dhuhr zote utamkuta mahmur anasali
 
hao kina musk hawana dini kama ulikuwa hujui na ukifuatilia wazungu wengi unaowaita wakristo walishaachana na ukristo zamani sana, sasa hivi hata uingereza makanisa yanageuzwa misikiti na sabbat Kuba makanisa hayana watu , na huyo Ronaldo kuna kila dalili kabadili dini kisiri kama umeangalia hata finals za Uefa nations league kabla ya penalty alikuwa anaomba dua
 
Ndio maana mpira wa bongo ushirikina ni mwingi. Majungu majungu, fitina fitina........!!!
 
Sio Hati miliki ila ni Kwa sababu hapa Tanzania Dar es salaam ndio Kila kitu na Dar es salaam ni mji wa waislam hakuna namna lazima muwe wageni katika Kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…