Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

Tanzania nchi masikini tungejikita kwenye kujenga uchumi wa mtu mmoja mmoja kama tulivyokamata dini tungesogea hatua kubwa sana.

Fikiria wingi wa michango ya kujenga makanisa na misikiti hizo nyumba zingekua viwanda vidogo na vyakati haki vile tungepiga hatua kubwa.
 
It has nothing to do with islam, or the religion,
Ukienda kwenye academic, utakuta wakristo wengi, je utasema wakristo ndio wameshika elimu? Inategemea umezaliwa lini bro,
Hapo TFF aliwahi kuwepo Leornad Tenga kama boss, hakuna kigezo cha dini hapo, ni, macho yako tu na akili yako inawwza vitu vidogo sana
 
Waislamu waliwahi ku-dedicate muda wao mwingi kwenye sanaa, michezo na muziki mapema kuliko wakristo....usishangae ni kawaida.

Mbona hushangai top performing musicians wote ni waislamu.
Diamond, zuchu, Jux, king kiba, Harmonise, mbosso nk

Ni Dedication tu.
Mbona hushangai Wachezaji wengi wazuri Brazil au ufaransa ni weus.
Wakati kwenye nchi kama Brazil weusi ni 7% tu
 
Huu upuuzi kweli kuwaza ujinga tu,leongo lako nini hasa?
 
Pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…