Kwani wanawake mnataka nini?

Ni nature zao tu hata upige vipi hiko ni kama kitabia hakimtoki.
 
Hilo ndio kosa ambalo wanaume tunafanya tunafikiri kuwa,kumpa mwanamke hela na kila kitu ndio tumemaliza,hapana wanawake wanahitaji pia mapenzi Kwa maana uspend Time nae na mambo kama hayo,ndio maana kuna Uzi mmoja niliuandika ''Baada ya kumtimizia mwanamke hitajio la kifedha kinachofuatia ni hitajio la mapenzi'' nimezungumza hayo maswala.

Kwahiyo Mzee usipanic fanya ufanyavyo kama unampenda kweli jaribu kutafuta walau mda mara moja moja WA kuwa nae, ni ushaur wangu take it or leave it
 
Mkuu umesema kweli kabsa hawa watu sio kabsa hata mimi siwezi malawama mkuu bola ulivyo biga chini tu kumbavu
 
Mkuu sio kwa muda simpi mbona Suki moja moja nakuga nae weekend Nampa nafasi ya kuspend nae time lakini sasa yeye anataka 7days zote niwe nae ningumu siwezi labda niache mamboyangu yote coz hata huo muda ninaompa najitahdi kujibana sanaaa mku
 
Ogopa sana kiumbe anaenyoa nyusi zote halafu anachora mfano wa nyusi kwa wanja. Mwanamke hata yeye mwenyewe hajui anataka nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah nimejikuta nimecheka et ananyoa nyusi ana jichora tena na wanja
 
Binafsi naona umuache tu... maana ushaanza muita "jitu".. inaonyesha umemchoka na mapenzi yamekwisha.
 
Inabidi uwaelewe tuu, niliwahi kuwa naye mmoja alikuwa akitumia sex kupata anachotaka, alikuwa anaweza kunibania hata zaidi ya mwezi kwa sababu tuu kakasirika au kunikomoa tuu for some reasons, relationship was hell lakini mapenzi nilikuwa nayataka, akili iliporudi nilimchezea game yake mwenyewe nikaanza kukataa kufanya naye mapenzi na chochote anachotaka hapati (ilikuwa mwaga ugali namwaga mboga) na nilikuwa tayari tumalizane, aliomba poo mwenyewe akarudi mstarini lakini hatukudumu maana damage ya kisaikolojia ilikuwa kubwa sana
 
Mkuu sio kwa muda simpi mbona Suki moja moja nakuga nae weekend Nampa nafasi ya kuspend nae time lakini sasa yeye anataka 7days zote niwe nae ningumu siwezi labda niache mamboyangu yote coz hata huo muda ninaompa najitahdi kujibana sanaaa mku
 
Mkuu sio kwa muda simpi mbona Suki moja moja nakuga nae weekend Nampa nafasi ya kuspend nae time lakini sasa yeye anataka 7days zote niwe nae ningumu siwezi labda niache mamboyangu yote coz hata huo muda ninaompa najitahdi kujibana sanaaa mku
Kama ni hivyo basi yeye ni tatizo,sasa kabla ya kumuacha mwambie Tabia yake hiyo wewe ina kukera Sana,na mwambie ukiendelea hivyo utashindwa kuendelea na uhusiano WA namna hiyo,sasa kama anakuhitaji kweli atajirekebisha kama sio basi atakuwa ameamua hatima take mwenyewe
 
Ushamweleza hsya uliyotueleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…