nywele moja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 251
- 349
Hahahahaha ilo jina la lijitu hahahaha[emoji16]Habari wakuu
Natumai wote mko wazima.
Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha yenu misielewi.
Daah Pole mkuu ila hawa viumbe misiwaelewagi sasa wanataka nini mtu kila kitu unampaInabidi uwaelewe tuu, niliwahi kuwa naye mmoja alikuwa akitumia sex kupata anachotaka, alikuwa anaweza kunibania hata zaidi ya mwezi kwa sababu tuu kakasirika au kunikomoa tuu for some reasons, relationship was hell lakini mapenzi nilikuwa nayataka, akili iliporudi nilimchezea game yake mwenyewe nikaanza kukataa kufanya naye mapenzi na chochote anachotaka hapati (ilikuwa mwaga ugali namwaga mboga) na nilikuwa tayari tumalizane, aliomba poo mwenyewe akarudi mstarini lakini hatukudumu maana damage ya kisaikolojia ilikuwa kubwa sana
Mkuu anajua kila siku namweleza kuwa sipend lawama zake na kumueleza kuwa anajua kuwa nina mambomengi yanayo nifanya kuwa busy lakini hainamaana kuwa simpend lakini haelew sasa mi nifanyeje kila siku lawama mwache aendee tu mkuu kichwa yangu itulie basKama ni hivyo basi yeye ni tatizo,sasa kabla ya kumuacha mwambie Tabia yake hiyo wewe ina kukera Sana,na mwambie ukiendelea hivyo utashindwa kuendelea na uhusiano WA namna hiyo,sasa kama anakuhitaji kweli atajirekebisha kama sio basi atakuwa ameamua hatima take mwenyewe
Mkuu anajua kilakitu sio mala ya kwanza hii ni mala kadha wa kadha huwa najaribu kumuweka chini na kumueleza anielew lakini baada ya siku kupita mambo yaleyale malawama nimechoka mkuu kichwa inamambo mengi nisije kufa kwa preshaUshamweleza hsya uliyotueleza?
Kwahiyo tunakubaliana mwanamke hawezi kuridhika sio ?! Kila siku mnabweka "tafuta hela" haya jamaa kamua na kaweza kutafuta hela, mmeamua kudai muda.Mpenzi wako anahitaji quality time nawe. Inaonesha unamridhisha kwa vingine vyote lakini sio mda wako.
Stupid takers. Wanawake wanawazaga kuchukua na kuchukua na kuchukua ukiampa hichi atataka kile akikipata atataka kile.Muoe kabisa, awe anakuona usiku kucha atariudhika, n kweli wanawake wanataka mda n fedha pia
Unatakiwa upate mwanamke muelewa la sivyo lawama ztazdi n mtaishia pabaya
Brainless creatures (japo sio wote) wanawake hamana akili mkuu kuna uzi nitauleta hapa usipoteze muda na hawa viumbeKati ya kitu sipendi ni hiyo milawama ya wanawake. Kuna mmoja nimempiga chini juzikat kisa ni hiyo milawama isiyo na kichwa wala miguu.
Hawawazi kua unaweza kua umepata shida, sim haina charge, uko mbali na simu, una kikao, upo na wazazi.
Yeye akipiga usipopokea basi jiandae zigo la lawama na kukuhisi ulikua unachepuka, haya maakili sijui wanayatoaga wapi.