Kwani wanawake mnataka nini?

Kwani wanawake mnataka nini?

knows

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,453
Reaction score
2,234
Habari wakuu

Natumai wote mko wazima.

Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha yenu misielewi.

Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja lakini mbaka naandika huu uzi kashanchefua roho naa kwendree anako kwendraaa nishamvumilia Sana sasa nazani niwakati muafaka endee tu.

Kiukweli huyu mwanamke hatasielew anamatatizo gani kila kitu anacho hitaji nampatia tena kwa wakati iwe Hela iwe nini matakataka yote anayohtaji Nampa.

Lakini kila siku lawama lawama lawama nimechoka Sawa mtu anahtaji muda wangu lakini nitampa muda ambao nipo free kuutumia kwake mbona weekend nakuwa nae na nishamweleza na anajua ni jinsi gani niko busy.

Nitoke ofisi jion nakuwa Sina muda wa kupumzika bado niende kuendesha mambo mengine na kuyasimamia ili yaweze niingizia hela zaidi lakini jitu linakaa kulalamika mala ooh. Uko busy Sana uko busy Sana mala ooh huna muda na mimi kila siku makelele na jitu linajua ni mambo kiasi gani yananikabili.

Sasa jitu linataka nifanye nini niache kazi sasa na kufanya mambo mengine yanayo niingizia pesa niache sindio alafu tukae tu wote tuwe tunaangaliana kama makobe ndo anachotaka. Halafu huyo huyo utaskia anataka hela ya shopping. Hela ya outing mala hela ya kufanyia madudu gani nampa.

Sasa kaona kama namchosha na u busy wangu sasa akwende tu pumbavu nishachoka na mimi kukaa na lijitu lizima lakini unashindwa kuwa na akili na kuelewa basi ningekuwa na kucheat labda Hakuna sasa mtu unataka nini

Unataka muda wangu wote alafu hapohapo unataka hela sasa izo hela zinakuja zenyew au ivi watu wakoje. Sasa akwendee wanawake wapo wengi Sana kwa hii dunia kwani yeye ndo wakwanza kuwa nae asinchoshe akili mimi.
 
Kama bado hujawaelewa wanawake achana nao usije kuua mtu ama kujiua bure. Wanawake tuachieni sisi tunaowaelewa na wao wanatuelewa tunakula vitu bila shida. Kama wanawake huwaelewi achana nao, utakuja kujiua ama kuua mtu.
 
Hawa wao wenyewe hawajui wanataka nini mzee!

Cha msingi usiwaweke sana moyoni, fanya kama ni watu wa muhimu kuwa nao lkn sio lazima kuwa nao.

Tafakari...usije kufa kabla ya siku zako kisa lijitu ambalo halikuhusika hata kumsaidia mama yako kushika mimba, wala halikuhusika na malezi yako toka ulipozaliwa.
 
Habari wakuu
Natumai wote mko wazima.

Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha akwendee wanawake wapo wengi Sana kwa hii dunia kwani yeye ndo wakwanza kuwa nae asinchoshe akili mimi.
Mpenzi wako anahitaji quality time nawe. Inaonesha unamridhisha kwa vingine vyote lakini sio mda wako.
 
Hawa wao wenyewe hawajui wanataka nini mzee!

Cha msingi usiwaweke sana moyoni, fanya kama ni watu wa muhimu kuwa nao lkn sio lazima kuwa nao.

Tafakari...usije kufa kabla ya siku zako kisa lijitu ambalo halikuhusika hata kumsaidia mama yako kushika mimba, wala halikuhusika na malezi yako toka ulipozaliwa.
Daah sawa mkuu ndomana nimemwacha aendee nishachoka mkuu
 
Mpenzi wako anahitaji quality time nawe
Inaonesha unamridhisha kwa vingine vyote lakini sio mda wako.
Mkuu ivi unafahamau ni mangpa yanahtaji muda wangu okay. So ninge mpa huo muda quality na nisimpe hela nako ungesemaje maana huo muda wa kuitengeneza hiyo hela niwe Sina nmpe yeye sasa kama unavosema
 
Hawa wao wenyewe hawajui wanataka nini mzee!

Cha msingi usiwaweke sana moyoni, fanya kama ni watu wa muhimu kuwa nao lkn sio lazima kuwa nao.

Tafakari...usije kufa kabla ya siku zako kisa lijitu ambalo halikuhusika hata kumsaidia mama yako kushika mimba, wala halikuhusika na malezi yako toka ulipozaliwa.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Back
Top Bottom