Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
Tatizo linaanzia hapa. Wanaume tumeshajiaminisha kuwa mapenzi ni pesa, ili aendelee kuwa nawe inabidi utumie nguvu nyingi hasa ya kipesa. Mambo yanapokuwa tofauti na matarajio yako ya kumpa pesa ukiamini ndio mapenzi ndipo tabu zinaanza.Mkuu kila kitu natimiza hata kitandani nambutua fresh piga Sana show ila anacho lalamika yeye ni kuwa niko busy sana sina muda na yeye sasa mambo nimengi mkuu huyohuyo namtafutia mahtaji wanataka hela hawa mkuu sjui umenielewa lakini
Mapenzi yamekuwa upuuzi tu, drama nyingi sana siku hizi NGONO imekuwa rahisi sana kupata kuliko MAPENZI. Ishi ukitambua wanawake sio wa kupendwa wala kupoteza muda wako kwao, kuwa nao kwa lengo moja tu SEX na sio vinginevyo, kila utakachomfanyia ama kumpa, fanya na mpe kwa lengo la kukidhi hitaji lako la kimwili. Hii ndio akili tulioambiwa tuishi nao.