Kwani wanawake mnataka nini?

Kwani wanawake mnataka nini?

Mkuu kila kitu natimiza hata kitandani nambutua fresh piga Sana show ila anacho lalamika yeye ni kuwa niko busy sana sina muda na yeye sasa mambo nimengi mkuu huyohuyo namtafutia mahtaji wanataka hela hawa mkuu sjui umenielewa lakini
Tatizo linaanzia hapa. Wanaume tumeshajiaminisha kuwa mapenzi ni pesa, ili aendelee kuwa nawe inabidi utumie nguvu nyingi hasa ya kipesa. Mambo yanapokuwa tofauti na matarajio yako ya kumpa pesa ukiamini ndio mapenzi ndipo tabu zinaanza.

Mapenzi yamekuwa upuuzi tu, drama nyingi sana siku hizi NGONO imekuwa rahisi sana kupata kuliko MAPENZI. Ishi ukitambua wanawake sio wa kupendwa wala kupoteza muda wako kwao, kuwa nao kwa lengo moja tu SEX na sio vinginevyo, kila utakachomfanyia ama kumpa, fanya na mpe kwa lengo la kukidhi hitaji lako la kimwili. Hii ndio akili tulioambiwa tuishi nao.
 
Habari wakuu

Natumai wote mko wazima.

Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha yenu misielewi.

Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja lakini mbaka naandika huu uzi kashanchefua roho naa kwendree anako kwendraaa nishamvumilia Sana sasa nazani niwakati muafaka endee tu.

Kiukweli huyu mwanamke hatasielew anamatatizo gani kila kitu anacho hitaji nampatia tena kwa wakati iwe Hela iwe nini matakataka yote anayohtaji Nampa.

Lakini kila siku lawama lawama lawama nimechoka Sawa mtu anahtaji muda wangu lakini nitampa muda ambao nipo free kuutumia kwake mbona weekend nakuwa nae na nishamweleza na anajua ni jinsi gani niko busy.

Nitoke ofisi jion nakuwa Sina muda wa kupumzika bado niende kuendesha mambo mengine na kuyasimamia ili yaweze niingizia hela zaidi lakini jitu linakaa kulalamika mala ooh. Uko busy Sana uko busy Sana mala ooh huna muda na mimi kila siku makelele na jitu linajua ni mambo kiasi gani yananikabili.

Sasa jitu linataka nifanye nini niache kazi sasa na kufanya mambo mengine yanayo niingizia pesa niache sindio alafu tukae tu wote tuwe tunaangaliana kama makobe ndo anachotaka. Halafu huyo huyo utaskia anataka hela ya shopping. Hela ya outing mala hela ya kufanyia madudu gani nampa.

Sasa kaona kama namchosha na u busy wangu sasa akwende tu pumbavu nishachoka na mimi kukaa na lijitu lizima lakini unashindwa kuwa na akili na kuelewa basi ningekuwa na kucheat labda Hakuna sasa mtu unataka nini

Unataka muda wangu wote alafu hapohapo unataka hela sasa izo hela zinakuja zenyew au ivi watu wakoje. Sasa akwendee wanawake wapo wengi Sana kwa hii dunia kwani yeye ndo wakwanza kuwa nae asinchoshe akili mimi.
We ni mpumbavu braza
 
Tatizo linaanzia hapa. Wanaume tumeshajiaminisha kuwa mapenzi ni pesa, ili aendelee kuwa nawe inabidi utumie nguvu nyingi hasa ya kipesa. Mambo yanapokuwa tofauti na matarajio yako ya kumpa pesa ukiamini ndio mapenzi ndipo tabu zinaanza.

Mapenzi yamekuwa upuuzi tu, drama nyingi sana siku hizi NGONO imekuwa rahisi sana kupata kuliko MAPENZI. Ishi ukitambua wanawake sio wa kupendwa wala kupoteza muda wako kwao, kuwa nao kwa lengo moja tu SEX na sio vinginevyo, kila utakachomfanyia ama kumpa, fanya na mpe kwa lengo la kukidhi hitaji lako la kimwili. Hii ndio akili tulioambiwa tuishi nao.
 
Mkuu ivi unafahamau ni mangpa yanahtaji muda wangu okay. So ninge mpa huo muda quality na nisimpe hela nako ungesemaje maana huo muda wa kuitengeneza hiyo hela niwe Sina nmpe yeye sasa kama unavosema
 
Back
Top Bottom