Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

Naomba kuuliza hivi nyie wengine mnawezaje kunywa kulewa halafu hampigani ngumi? Mbona mimi siwezi!!
Kama ulevi wako unakutuma Kupigana, si mtafute Mandonga?

Alishasema yupo tayari kupigana na yeyote wakati wowote.
 
ACHA K VANT, ACHA KONYAGI, ACHA KABISA POMBE KALI, jaribu wine
 
Naomba kuuliza hivi nyie wengine mnawezaje kunywa kulewa halafu hampigani ngumi? Mbona mimi siwezi!!
Ukiona uko bar na kuanza kuona yule muhudumu uliesema hana tako huwezi,afu baadae ukaanza kumuita ita=ukienda bar mpΓ²oole ila ghafla baada ya mbili tatu unaanza kua mkali mara uanze kuona kama vile unaweza kununua bar nzima pekeako
JUA UMESHALEWA ONDOKA HARAKA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…