Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

naomba kuuliza hivi nyie wengine mnawezaje kunywa kulewa halafu hampigani ngumi..? mbona mimi siwezi!!
Ushatolewa meno ya barazani sasa una bonge la nundu kwenye paji la uso hapo unaandika kidole kimoja kimepinda kimekaa upande kwa ugomvi wa kugombea kiti cha bar baada ya kuondoka kwenda kukojoa kurudi unakuta mtu amekalia kiti chako bila kuuliza ukaanza kwa kumtwanga mabanzi bila kujua mwenzio ana black belt km 3 akakukalisha mpaka machozi ya aibu yakakutoka mixa kugalagazwa kwenye mtaro wa majitaka
 
sijawahi pigwa!
 
Ukiona hivyo ujue pombe hazikufai

Pombe inabidi iwe sehemu ya starehe na sio kupoteza mawazo yako negative na stress za maisha

Mara nyingi ukilewa au ukipiga vyombo ukiwa na stress unaweza kujikuta unamvaa mtu na kuzua ugomvi

Kitaalamu wanasema yale matendo yote ambayo MTU anayafanya akiwa amelewa huwa aanakuwa ni yeye Ila ispokuwa huo upande huitwa dark side.
 
Back
Top Bottom