Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Hujalazimishwa kufuata Imani ni wajibu wako kufuata sheria za nchi, umeambiwa usile mchana wa ramadhan wazwazi ufanye hivyo otherwise utachezea tu mikwaji hakuna namna nyengine
Imani si sheria ta nchi. Lazima ujue kuna mipaka. Hizi kesi zikienda mahakamani either polisi wabadili mashtaka otherwise muhusika anashinda mapema mno
 
Kwasababu tamaduni yako hairuhusu kumfanyia hivyo...Halafu kumbe we ni Mgumu kuelewa as if watumia ubongo wa mbuzi...KIPOCHI MANYOYA Wewe
We mkunduge jiangalie maneno yako usijione bank ya misamiati ya matusi unayo pekeyako ukianzisha nitakumaliza, maboya ndio mnawapiga fimbo na kuwaonea
 
Imani si sheria ta nchi. Lazima ujue kuna mipaka. Hizi kesi zikienda mahakamani either polisi wabadili mashtaka otherwise muhusika anashinda mapema mno
Polisi wa Zanzibar nao ni wasengekisenge hawajui Sheria kazi kubambika watu kesi pumbavu zao
 
Mamlaka ziko kimya.

Kesho ni PASAKA nawakumbusha tu mlioko Zanzibar msije mkajisahau mkafanywa kama mwenzenu🙆.

MAGUFULI4LIFE.
 
Wajinga nyie muondoke kwetu bara, wakristo waache kusherekea Pasaka kisa nyie mmefunga?
Kesho ndio kitaeleweka Mimi nakula pilau langu na kitimoto alafu mjinga mjinga kafunga bila kulazimishwa analazimisha watu washinde na njaa achume fimbo aniguse nitakua Zanzibar hapo mjini na hotpot langu, tusileteane ujinga
 
Imani si sheria ta nchi. Lazima ujue kuna mipaka. Hizi kesi zikienda mahakamani either polisi wabadili mashtaka otherwise muhusika anashinda mapema mno
Wenzako hao wako ndani kawasaidie utetezi wewe ni mwanasheria mzuri sana
11.jpg
 
Msitutishe hao Polisi wa Zanzibar Si ndio wale akina afande Rama yule alievujisha video akiwa anapakuliwa kisamvu cha kopo au sio hao?
Yule afande kwao ni bara asharejeshwa huko, Mwakiyembe anajua list zenu kila mkoa
 
Yule afande kwao ni bara asharejeshwa huko, Mwakiyembe anajua list zenu kila mkoa
Bara gani wa huko Zanzibar afande wa Zanzibar Sheria bila bila wanajua kubambika tu sasa mtu kala hadharani unaenda kumshtaki kadhurula una akili wewe?
 
AU NA SISI TUWAAMSHIE TU PALE KALIAKOO KIELEWEKE TU MAANA ATA VIONGOZI WAMETULIA TU WANAANGALIA HUU UJINGA UNAUMA SANA AISEE
 
Back
Top Bottom