Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Unaambiwa, anaekuja kukukamata ni afande rama
 
Hii ni video ya mwaka 2017 nadhani ilishapita mijadala yake haina haja tena kuirudia watu wanaoendelea kuirusha wana nia ya kujenga chuki na kutia doa umoja wetu katika Muungano na kutaka kutonesha jeraha ambalo limeshapita katika Imani za dini zetu.
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Tatizo si Zanzibar, nilishasema na ninarudia tena UISLAMU NI DINI YA SHETANI/IBILISI ALIYELAANIWA NA MUNGU MEENYEWE ndomana wanamayabia haya ya kishenzi kishenzi, Ushoga unaitesa Zanzibar hawaoni wanapambana na wakristo.
 
Wenzio sasa wanavoongea utadhani zanzibar haina mtu wa bara hata mmoja, watu wengine wanafujo la maksudi. Kuna wadada wasio waislam wanavaa baibui na hijabu hata husemi km sio waislam.
Tatizo ni hawa mamluki wanaotaka kukaa sehemu then wasifuate taratibu. Tumekaa na majirani wasio Islam kwa miaka na mpk iftaar Ramadhan tunawakaribisha. Zanzibar asilimia kubwa ya waschana wa kazi za nyumbani no from bara mbona hawafungi na wanakula majumbani hawabughudhiwi
Hata wadada wa kizanzibar wengi ni wafanyakazi wa ndani uarabuni
 
Hiyo ishu imetokea Zanzibar miaka 6 nyuma ,nahisi hata smartphone ulikuwa hauna kama ndio unaona leo.

Ilisambaa sana kweny media ,mbona hakuna action.

Kingine watu uchagani walevi wanachapw sana jaribu kuzunguka ,usiwe unakariri mambo .

Meru mwaka jana walitangaza kuchapa watu wanaovaa nguo fupi haswa wasichana..

Arumeru hapo watu wanatozwa fain

View: https://youtu.be/QNzgoG-HJ6A?si=uUSF3NG2eCRTXToJ

Kwa hiyo wakiwa huku Tanganyika watu wanachapwa ni justification ya watu kuchapwa huko Zanzibar?
 
Kwa hiyo wakiwa huku Tanganyika watu wanachapwa ni justification ya watu kuchapwa huko Zanzibar?
Tamaduni zao ,pia nikukumbushe Arumeru pale kuvaa nguo fupi kwa wanawak wanalipa faini.

Huko uchagani kuna vijijini ukilewa sana unapigwa fimbo ,ukitelekeza familia fimbo .

Bakora zinataendelea kwa vile ni mil zao kama unabisha nenda.
 
Kuna viti vya ajabu sana humu Duniani. Eti mchana unakataza watu wanaokula ugali kisha mwezi mtukufu ila jioni wakati wa kufuturu au kula Daku na baada ya mwezi mmoja kuisha, wewe ndio unaliwa tako.

Hayo mavijana ya kizanzibar mapuuzi sana. Yaani kula ugali ni dhambi kuliko kuliwa tako wanavyoliwa na kufukuliwa mitaro? Majamaa yanampiga jamaa huku "Sphinter muscles" zimelegea na beki hazikabi kwenye tako zao? Sasa nani hapo Kafiri?
 
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui znz ni ya nani karibu znz
Nani kakuambia Zanzibar ni yenu?Jifanyeni kuleta vurugu mara nyingine muone ni kichapo tu mpk mkajinyee kwenye karandinga
 
Tamaduni zao ,pia nikukumbushe Arumeru pale kuvaa nguo fupi kwa wanawak wanalipa faini.

Huko uchagani kuna vijijini ukilewa sana unapigwa fimbo ,ukitelekeza familia fimbo .

Bakora zinataendelea kwa vile ni mil zao kama unabisha nenda.
- Hilo pia sio sawa, ni kinyume cha katiba, kwa sababu katiba inakataza kutoa adhabu Zinazodhalilisha watu
-pia hayo ni makosa na yalishakemewa hata na LHRC, kwamba hizo ni adhabu Zinazodhalilisha na kuvunja haki za binadamu
 
Kukataa adhabu na hukumu ni unafiki basi hamna hata haja ya kuwa na katiba.

Ndio maana mmeru huwezi kumkataza kula mirungi hapa Tz japo ni marufuku kwa vile ndgu zao kenya wanakula na kuuza sio kosa kwao.

Sasa wameru wanakamatwa kutwa na mirungi hapa Tz ila kenya kule ni ruksa.
 
Ifike wakati kila watu warudi kwao tumewachoka
 
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui znz ni ya nani karibu znz
Mnashindwa kuwazuia wazungu wanaokuja Zanzibar wanatembea na chupi na kuwaingilia kinyume na maumbile

Mnapambana kumpiga Raia anaejilia ugali wake katafuta kwa jasho lake

Dini ya ajabu hii kabisa

Leteni chokochoko muone,mtajinyea kwenye karandinga,wengine mkimbilie kujificha Mombasa muache wake zenu tuwahudumie

Dadeki
 
Zenji wabaguzi mno nyie hamjui tu ila cha ajabu wakija huku bara wakapata brainwash hawataki hata kurudi kwao na kama wataenda ni asubuhi jioni huyu hapa mjini daslama🤣🤣
 
Mnashindwa kuwazuia wazungu wanaokuja Zanzibar wanatembea na chupi na kuwaingilia kinyume na maumbile

Mnapambana kumpiga Raia anaejilia ugali wake katafuta kwa jasho lake

Dini ya ajabu hii kabisa

Leteni chokochoko muone,mtajinyea kwenye karandinga,wengine mkimbilie kujificha Mombasa muache wake zenu tuwahudumie

Dadeki
Niliwahi kusikia wazungu wakiwa Zanzibar Hawabugudhiwi kabisa
 
Back
Top Bottom