Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Weka hizo sheria hapa na hicho kifungu tukione. Wewe inaongea sheria zipo halafu hujui ni sheria gani? Mnadanganyana kwenye tarawea huko halafu mnaingia mtaani kuteswa watu? Sema ni sheria gani ,ya mwaka gani na kifungu gani? Hakuna bonge lolote duniani au chombo kilichopewa mamlaka ya kutunga subsidiary legislation kitatunga sheria ya kipuuzi namna hiyo. Mnadanganjwa tuu

Lex inhaust non est lex
Wewe wacha porojo njoo huku znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui kua Kuna sheria au hakuna karibu znz
 
Usiishie kusema hujui kitu, jenga hoja sasa,
Hoja ni kwamba predominantly Katiba inayotawala ni ya JMT na pia muundo wa Muungano ni wa serikali mbili moja Ina mamlaka makubwa nyingine Ina mamlaka madogo
Zanzibar ni Nchi sawa, lakini je Zanzibar wanaruhusiwa kukikuka Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
- kama Zanzibar ni Nchi kamili mbona ilishindwa kujiunga na OIC? (Nchi za kiislamu) jibu ni kwa sababu Zanzibar ni washirika wa muungano na wanapaswa kufuata pia masharti ya Katiba ya muungano ambayo hairuhusu Mafungamano ya serikali na dini
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui kama wana mamlaka au hawana karibu znz
 
Hakuna muislam anaweza kumpiga kafiri eti kisa anakula HADHARANI,hao ni wahuni kama wahuni wengine tuh,we ile video umeiona?unaona wale ni watu wa kuwawekea dhamana kuwa Wana uelewa sahihi wa dini? besides hata huyo aliekawa anapigwa hakuna sehemu imesemwa kuwa ni mkristo,infact anaweza kuwa hata ni muislam mwenzao vile vile,ila fact ni kwamba funga ni ibada ya mola na mja wake, haiwezekani MTU afunge kisha iwe kikwazo kwake Kwa mtu kula mbele yake,kipimo hasa Cha funga ni Imani,kama MTU akila mbele yako na wewe ukaweza kujizuia Kwa kujiambia kuwa hakika nimefunga ndiyo maana hasa ya funga
Hapa umeeleza vizuri mkuu nimekuelewa. Kwa hiyo tunahitimisha wanachofanya Zenji ni uhuni wa watu wenye mihemko na wala si rejea ya uislamu.
 
Tukiwaambia hawana akili wanakataa
ushauri wangu kwa kua watu weusi wana akili nusu, sheria za kijinga kama hizo hazipaswi kuwepo. kwanini? kwa sababu kwa akili fupi za watu weusi na hasa za watu baadhi wa visiwani ukichangia na mihemko ya dini bila reasoning, watakamatwa watu hata kama wanakula kwenye kibanda cha mama lishe na wameweka pazia kwa lengo la kutokula hadharani.
au nadanganya mkuu?
 
Hapa umeeleza vizuri mkuu nimekuelewa. Kwa hiyo tunahitimisha wanachofanya Zenji ni uhuni wa watu wenye mihemko na wala si rejea ya uislamu.
Exactly 💯,Funga ni ibada ya kujizuia kula,kunywa, sex na chochote kinachoweza kukuondoa kwenye ibada hiyo kuanzia mwanzo wa alfajir hadi kuzama Kwa jua,na mwenye uhakika kabisa kuwa mja kafunga ni mola pekeyake, sababu huenda MTU akaenda kujifungia chumbani pekeyake kisiri na kula chakula au kunywa maji,nani anaweza jua?

So,MTU akila mbele yako na ili Hali wewe umefunga unakwazika Nini,kama umeshindwa basi SI ule uifungue funga yako,ni uelewa finyu tuh wa dini,uislam ni dini ya logic,na hata kama MTU ni muislam na hataki kufunga na kaamua kula iweje umlazimishe asile,kwani hiyo ibada ya funga malipo anatoa mwanadamu au Mungu mwenyewe,hakuna kulazimishana kwenye dini,kila MTU atakuwa responsible Kwa matendo yake mwenyewe.
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Pambaf kabisa hawa kenge iko siku watajua uzuri na umuhimu wa muungano
 
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui kama wana mamlaka au hawana karibu znz
🔹 Kama mnaona ni haki kuwanyanyasa watu kwa Imani ya dini ya mwarabu basi dunia nayo ifurahie Waislam wanavyouawa kule India ambayo inajinadibu kuwa majority ni WA Hindu hivyo uki practice Imani nyingine unauawa? Muwe mnatumia hata sehemu ndogo ya UBONGO kufikiri. Ua kule Ireland ambayo ni nchi ya Kikristu wapite mtaani kuwapiga wageni wanaokula nyama Leo siku ya ijumaa kuu?
 
Back
Top Bottom