Hakuna muislam anaweza kumpiga kafiri eti kisa anakula HADHARANI,hao ni wahuni kama wahuni wengine tuh,we ile video umeiona?unaona wale ni watu wa kuwawekea dhamana kuwa Wana uelewa sahihi wa dini? besides hata huyo aliekawa anapigwa hakuna sehemu imesemwa kuwa ni mkristo,infact anaweza kuwa hata ni muislam mwenzao vile vile,ila fact ni kwamba funga ni ibada ya mola na mja wake, haiwezekani MTU afunge kisha iwe kikwazo kwake Kwa mtu kula mbele yake,kipimo hasa Cha funga ni Imani,kama MTU akila mbele yako na wewe ukaweza kujizuia Kwa kujiambia kuwa hakika nimefunga ndiyo maana hasa ya funga