Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Nakuja na Mimi niwe wa 13 wamenisahau huku nje acheni Sheria za kiduanzi Serikali haina Dini, alafu weka hivyo vifungu vya Sheria vinavyosema hivyo mboni hivyo vifungu hamvisemi au ni Sheria ya Imamu?
Njoo ule utaenda kujibizina Mahakamani kule Zanzibar kuhusu sheria za Zanzibar wacha kutishia fanya kweli uone, wenzako hao 12 walisema hivyo hivyo
 
Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.

Hebu tuambie wewe, waarabu walikubagua nini? Na wapi? Maana kila siku waarabu waarabu, hamuna kazi za kufanya every day kuongelea watu! Hivi huwa unalala kweli! Huwaoti kweli waarabu!

Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.

Hebu tuambie wewe, waarabu walikubagua nini? Na wapi? Maana kila siku waarabu waarabu, hamuna kazi za kufanya every day kuongelea watu! Hivi huwa unalala kweli! Huwaoti kweli waarabu!
Dini ya mwenyezi mungu ndio ilazimishe watu washinde njaa?!
Upuuzi mtupu
 
Njoo ule utaenda kujibizina Mahakamani kule Zanzibar kuhusu sheria za Zanzibar wacha kutishia fanya kweli uone, wenzako hao 12 walisema hivyo hivyo
Leta hivyo vifungu vya Sheria
 
Zipo funga za aina nyingi
Kutokula chakula ikiwemo katika hizo aina.


Halafu wakristo wengi hufunga mara nyingi tu..siyo watu wa kufunga kwa matukio tu ndio maana huoni wakiinadi funga yao wala kuwachukia aasiofunga.
Funga ya Ramadhan ni Amri kutoka kwa Mungu kwa waumini wa dini ya kiislamu imeandikwa kabisa katika Quran
1711715565681.png


Lakini hizo kwaresma mpaka leo wakiristo hawajaleta hiyo Amri iliyoletwa kutoka kwa Mungu wao ndio mana hamushikani wengine wanafunga wengine wanaacha tu maana hakuna mashiko ndani biblia
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
LOOoooo! Hivi hii ni kweli, au ni mambo ya kutungwa tu! Huyu 'mungu' wa kulazimishwa atakuwa ni shetani.

Hawa wanaimarisha muungano hawa!
 
Yaani hao makafiri kwao chakula kula waziwazi ndiyo dhambi kipindi kweli maajabu hayawezi kuisha Afrika.Na hapo wanajiona watakatifu.
 
Mwl Nyerere katuingiza chaka.
Hapana. Sikjawahi kusikia haya yanayotokea leo yakiwa yanatokea wakati wake, na wala hayaonekani popote katika makubaliano ya muungano.
Elekeza lawama mahala stahiki, siyo kwa Mwalimu Nyerere.

Hata hivyo, kwani inashindikana vipi kukataa uhayawani huu wakati huu?
 
Mnashindwa kumilia wenzetu tukio la Mwezi mmoja tu?
Mashetani wakubwa nyinyi. Ndiyo maana hata mtume wenu anakiri kwenye hii hadithi kuwa anamilikiwa na kuongozwa na shetani. Halafu ati anajifanya kwake yeye shetani humu command afanye mambo mazuri!!?? Toka lini shetani akawa na biashara hiyo!!?? Mazuri kama vile alivyomuoa AISHA akiwa na miaka 6!!??
Mashetani wakubwa nyinyi
Screenshot_20240326-223825_Chrome~2.jpg
Screenshot_20240326-223825_Chrome~2.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230521-004548~5.png
    Screenshot_20230521-004548~5.png
    152.7 KB · Views: 1
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Weka hizo sheria hapa na hicho kifungu tukione. Wewe inaongea sheria zipo halafu hujui ni sheria gani? Mnadanganyana kwenye tarawea huko halafu mnaingia mtaani kuteswa watu? Sema ni sheria gani ,ya mwaka gani na kifungu gani? Hakuna bonge lolote duniani au chombo kilichopewa mamlaka ya kutunga subsidiary legislation kitatunga sheria ya kipuuzi namna hiyo. Mnadanganjwa tuu

Lex inhaust non est lex
 
Hujui kitu kuhusu zenji basi !Tutabishana tu.🤣🤣
View attachment 2948112
Usiishie kusema hujui kitu, jenga hoja sasa,
Hoja ni kwamba predominantly Katiba inayotawala ni ya JMT na pia muundo wa Muungano ni wa serikali mbili moja Ina mamlaka makubwa nyingine Ina mamlaka madogo
Zanzibar ni Nchi sawa, lakini je Zanzibar wanaruhusiwa kukikuka Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
- kama Zanzibar ni Nchi kamili mbona ilishindwa kujiunga na OIC? (Nchi za kiislamu) jibu ni kwa sababu Zanzibar ni washirika wa muungano na wanapaswa kufuata pia masharti ya Katiba ya muungano ambayo hairuhusu Mafungamano ya serikali na dini
 
Elimu elimu elimu alisisitiza Mzee wetu EL wakati wa uhai wake.Jamii iliyostaarabika haiwezi kufanya utumwa kama huu.
 
Elewa kwamba Zanzibar ni nchi na ina katiba yake, kuhusu Jamhuri ya Muungano inahusu kwenye mambo ya muungano tu, yaliyobaki yote yanasimamiwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar
- ni kweli Zanzibar ni Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar
-kama hoja ni kwamba "mambo yaliyobaki yote yanasimamiwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar " Swami ni je ni ibara ipi ya Katiba ya Zanzibar inatosema wazi kuwa Zanzibar ni dola la kiislamu?
- watunga Katiba ya Zanzibar waliona hatari ya kuweka ibara kwenye katiba ya Zanzibar inayosema Zanzibar ni dola la kiislamu kwa sababu ingeleta mgogoro na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,
 
- ni kweli Zanzibar ni Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar
-kama hoja ni kwamba "mambo yaliyobaki yote yanasimamiwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar " Swami ni je ni ibara ipi ya Katiba ya Zanzibar inatosema wazi kuwa Zanzibar ni dola la kiislamu?
- watunga Katiba ya Zanzibar waliona hatari ya kuweka ibara kwenye katiba ya Zanzibar inayosema Zanzibar ni dola la kiislamu kwa sababu ingeleta mgogoro na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Ivi kwa akili zako wewe ni lazima nchi iwe/ ama itangazwe kuwa ni dola ya kiislam ndio iwekwe sharia ya Swaumu?
 
Sasa hao makafiri wanafanya ibada Kwa kupiga wenzao?
Hakuna muislam anaweza kumpiga kafiri eti kisa anakula HADHARANI,hao ni wahuni kama wahuni wengine tuh,we ile video umeiona?unaona wale ni watu wa kuwawekea dhamana kuwa Wana uelewa sahihi wa dini? besides hata huyo aliekawa anapigwa hakuna sehemu imesemwa kuwa ni mkristo,infact anaweza kuwa hata ni muislam mwenzao vile vile,ila fact ni kwamba funga ni ibada ya mola na mja wake, haiwezekani MTU afunge kisha iwe kikwazo kwake Kwa mtu kula mbele yake,kipimo hasa Cha funga ni Imani,kama MTU akila mbele yako na wewe ukaweza kujizuia Kwa kujiambia kuwa hakika nimefunga ndiyo maana hasa ya funga
 
Back
Top Bottom