LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kwanza elewa zanzibar si nchi ya kiislam, kama inataka hadhi hiyo basi itangaze rasmi kuwa ni nchi ya kiislam na raia wote wanapaswa kutii sheria/sharia kali za kiislam, hapo itaelewekaHeshimuni imani za watu na kuweni wastaarabu.
Ushaona asilimia kubwa ya watu wa Zanzibar ni waislam na wanafunga kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Inakuaje wewe ule mchana wazi wazi kila mtu akuone. Si ujifungie ndani ule ukimaliza toka nje. Simple tu.