BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Sio kweli, Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inatawala hadi Zanzibar na ndio maana hata Zanzibar imeshindwa kujiunga na Umoja wa Nchi za kiislamu kwa sababu Zanzibar ni sehemu ya muungano hivyo kwa Zanzibar kujiunga na OIC ilikuwa ni kuvunja Katiba ya muunganoHizo ni sheria za muungano ,utakuja kufeli kwenye kuchambua Act za sheria.
Applicability ya hiyo ni chini ya muungano sio ardhi moja wapo ,mpaka kweny ishu za muungano.
Zanzibar ni nchi kamili ,iliporwa na Nyerere kwa sababu aliambia na uingereza kwa sababu za kiusalama .
View attachment 2948085