Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Samwaleko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni sheria za muungano ,utakuja kufeli kwenye kuchambua Act za sheria.Ibara ya 13 (2) "Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake" Hii ni extract kutoka kwenye katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
na pia katiba ikaenda mbali ikasema hivi ibara ya 19(2) "Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi"
Serikali hairuhusiwi kueneza dini, wala kuatangaza kwa njia yoyote
Leta kifungu kinachotoa AMRI mtu achapwe fimbo na kufanyiwa vurugu anapokula hadharani leta kifungu screenshot km hivyoHizo ni sheria za muungano ,utakuja kufeli kwenye kuchambua Act za sheria.
Applicability ya hiyo ni chini ya muungano sio ardhi moja wapo ,mpaka kweny ishu za muungano.
Zanzibar ni nchi kamili ,iliporwa na Nyerere kwa sababu aliambia na uingereza kwa sababu za kiusalama .
View attachment 2948085
Hii sio dini ni ushetani, Samia arudi kwao atuachie Tanganyika yetu huruVideo hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Wanatumia kweny ardhi yao😁😁..Huku kwetu hawawezi kufanya hivyo..Sijapinga ila ziko wapi? Jes sheria hizo ni applicable kwa muungano?
Satanic religionDini ya mwenyezi mngu.
Dini ya haki
Dini ya kweli
Takbiiiir
Dogo unaongea nn?🤣🤣🤣kwani lin wabongo mkawa na consistency watu ambao hata maandamano ni waoga.Leta kifungu kinachotoa AMRI mtu achapwe fimbo na kufanyiwa vurugu anapokula hadharani leta kifungu screenshot km hivyo
Hamjakutana na vichwa vichafu Mbwa nyie mtachapika mtaa mzima, mnawafanyia vurugu maboya wanawaangalia tu hamjakutana na waliochafukwa na roho atolewe mtu utumbo na Ramadhan iishie hapo
Wahuni wanaichafua vibaya sana kuna Ile Sheria ya kukatwa kichwa nilikua nasikiliza mawaidha Shekhe anasema uislamu haupo hivyo ni wahuni tu ndio hufanya hivyoSatanic religion
Unaongea uzushi hauna ushahidiDogo unaongea nn?🤣🤣🤣kwani lin wabongo mkawa na consistency watu ambao hata maandamano ni waoga.
Polisi wamesema kutokana na taratibu za sheria zao wapo kinyume ,polisi wanasimamia sheria za nchi ..Kama umesoma hapo utajua hao wamevunja sheria za eneo husika.
Bila ya kusahau kule Arumeru Arusha waonavaa nguo fupi wanachap ,bila kusahau uchagani walevi sana wanachapwa hata wanaokataa kuhudumia familia zao.
Muulize Maghayo
Jaribu kuzunguka uwe na exposure ,nafikiria utabadilisha mtazamo wako wa maisha.
Hii ni sheria ya kijiji kilichopo Arusha Arumeru ,watu wanachapwa kweli sas nionyeshe kweny katiba!?🤣🤣Wahuni wanaichafua vibaya sana kuna Ile Sheria ya kukatwa kichwa nilikua nasikiliza mawaidha Shekhe anasema uislamu haupo hivyo ni wahuni tu ndio hufanya hivyo
Mimi uniguse Mzeewangu ngumi mkononi nasemaje hata km nipo kwenye Nchi yako tutagawana majengo ya Serikali tusileteane usengerema hao wanawafanyia maboya tu,Tatizo sio dini?Africa tuna shida ivi unachapeje mtu mzima?
Jaribu kuzunguka toka hapo ulipo ,hata watalii wanaheshimu sheria mbalimbali kwa vile wanazunguka.Unaongea uzushi hauna ushahidi
Naomba kifungu cha sheria please kinachosema hivyo? Nilikuwa sitaki kuingia kwenye kukashfu wala mashindano ya kidini ila hoja yako ni ya kipuuzi sana. Kwani mi nikifunga alafu wewe ukala mchana nitapungukiwa na nini?Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
Hii ni sheria ya kijiji kilichopo Arusha Arumeru ,watu wanachapwa kweli sas nionyeshe kweny katiba!?🤣🤣
View: https://youtu.be/QNzgoG-HJ6A?si=z0WWf5H0qdWSUdxP
Jaribu kuzunguka toka hapo ulipo ,hata watalii wanaheshimu sheria mbalimbali kwa vile wanazunguka.
View: https://youtu.be/QNzgoG-HJ6A?si=z0WWf5H0qdWSUdxP
Waislam bana. Unakuta mke wa ustaadh kavaa mabaibui anazini analiwa hadi tigo. Baada ya kumfumua marinda anavaa nguo zake za heshima nakutaka kuondoka kwa mume wake. Lakini unamkaribisha kitimoto kabla ya kuondoka anakataa anakuambia hawezi kula eti hiyo ni haramu unabaki kushangaa WTF!Dogo unaongea nn?🤣🤣🤣kwani lin wabongo mkawa na consistency watu ambao hata maandamano ni waoga.
Polisi wamesema kutokana na taratibu za sheria zao wapo kinyume ,polisi wanasimamia sheria za nchi ..Kama umesoma hapo utajua hao wamevunja sheria za eneo husika.
Bila ya kusahau kule Arumeru Arusha waonavaa nguo fupi wanachap ,bila kusahau uchagani walevi sana wanachapwa hata wanaokataa kuhudumia familia zao.
Muulize Maghayo
Jaribu kuzunguka uwe na exposure ,nafikiria utabadilisha mtazamo wako wa maisha.