kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Hio Zanzibar nani kakuambia ni ya kwenu?Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio Zanzibar nani kakuambia ni ya kwenu?Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Wanafiki Hawa wakati kwenye vilinge wao ndo wanaongozaVideo hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Tukiwaambia hawana akili wanakataaHuu kama si ukicha ni nini? Kwanza hajafanya hadharani lakini pengine mtu hana biashara nyingine tofauti na hiyo ya kumuingizia kipato na kuna wateja wasiofunga kwa sababu zao wanazozijua, ni vipi mtu kama huyu unaenda kumkamata?

Misimamo ya kijinga ptuuuVideo hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Hiyo ishu imetokea Zanzibar miaka 6 nyuma ,nahisi hata smartphone ulikuwa hauna kama ndio unaona leo.Usiishie kusema hujui kitu, jenga hoja sasa,
Hoja ni kwamba predominantly Katiba inayotawala ni ya JMT na pia muundo wa Muungano ni wa serikali mbili moja Ina mamlaka makubwa nyingine Ina mamlaka madogo
Zanzibar ni Nchi sawa, lakini je Zanzibar wanaruhusiwa kukikuka Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
- kama Zanzibar ni Nchi kamili mbona ilishindwa kujiunga na OIC? (Nchi za kiislamu) jibu ni kwa sababu Zanzibar ni washirika wa muungano na wanapaswa kufuata pia masharti ya Katiba ya muungano ambayo hairuhusu Mafungamano ya serikali na dini
Wewe haina haja ya ubishi njoo huku znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua vizuri hiyo KATIBA karibu znzSio kweli, Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inatawala hadi Zanzibar na ndio maana hata Zanzibar imeshindwa kujiunga na Umoja wa Nchi za kiislamu kwa sababu Zanzibar ni sehemu ya muungano hivyo kwa Zanzibar kujiunga na OIC ilikuwa ni kuvunja Katiba ya muungano
Nani kakwambia kuwa hawavunji sheria yoyote ? Kwa znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani ndio maana wanapelekwa MahakamaniKwa mujibu wa katiba yake Zanzibar ni secular si ndio?
Basi basi hao 10% wako huru kufanya mambo yao.
Na kula hadharani maana yake nini? Kwanini wajifiche? Hawavunji sheria yoyote ya nchi.....
Majority or not, Waislam hawana haki ya kulazimisha mtu yoyote afuate imani yao.
Zanzibar sio Islamic State.
Nikweli ni kanchi ka wajinga na sheria zao zimekaa kijingajinga vilevile kama walivyo waoWacha porojo znz ni makosa kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikanimekuja kugundua wazanzibar wengi hawana exposure kabisa....
shida waislamu wanafundishwa dini ndo kinachowaharibu huwa hawafundishwai maadili jinsi ya kuishi kijamii.
mimi ni muislamu ila sitokuja kumpleleka mwanangu chuo(madrasa)...hakuna cha maana atakachoenda kujifunza zaidi ya kupandikizwa, chuki, udini na ukatili dhidi ya watu wasio dini yake..
ebu sikiliza hata mawaidha yao, kutishana, ku-criticize wakristo, yaani hawa wafundishi watoto, kuishi kijamii...hata ukienda zanzibar ukitoka bara, lazima watakuletea ubaguzi,..inashngaza sana aisee
Nenda basi kamfufue huyo magufuli aje awaanyoshe hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaMagufuli angewanyoosha Nguruwe awa.
Wabara wapo wengi zanzibar tena wengine maimamu msikitini. Huyo mkiristo anataka kuleta ubishi kama ccm na uchadema. Ndio dawa yake hio bakora.
Haikubaliki! Polisi inabidi ichukue hatua kali.Ndio shida
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyikaHakuna watu wabaguzi na wabaya kama wazanzibar, binafsi I hate them
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaHuwa wanaona dini yao ni ya maana zaidi kuliko zingine, Kwaresma wao wanakula na hakuna anayejali