Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Mtapigwa sana wajinga wakubwa nyie

Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe

Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?

ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?

Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili

Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?

Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.

Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!

Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..

Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa. Kama umeshindwa kuvumilia rudi huku bara tu na kama unaona wanaonewa mule visiwani panda boti uende ukawatete na ukale mchana uone moto wake....TUHESHIMIANE!!
 
Mwanadamu amevumbua Dini na Imani mbali mbali tokea alipopata ufahamu takriban miaka elfu thalathini.

Zimekuwa zikiibuka na nyingine kufa na nyingine kustrugle.

Lakini ukivumbua Dini yako ukasema hii ndio ya Haki na Mtume wako ndie wa mwisho halafu ukatumia Upanga Ugaidi na Mauaji kuisambaza nadhani ni Idea ya Hovyo.
 
Huu upuuzi wote unaletwa na CCM kung'ang'ania huu muungano wa mchongo. Tunawabeba sana hawa wala urojo lakini hawana shukrani,muungano uvunjwe Wazanzibari wote huku bara tuwatimue warudi kwao na Watanganyika walioko huko warudi nyumbani.
 
wazanzibar ni watumwa
Kitupi hata kuwakomboa ni tanzania bara tuliopeleka vikosi kuwapiga waarabu
 
Bara gani wa huko Zanzibar afande wa Zanzibar Sheria bila bila wanajua kubambika tu sasa mtu kala hadharani unaenda kumshtaki kadhurula una akili wewe?
Mtu wa kwenu katoka gongolamboto, asharudishwa huko
Zanzibar ni nchi ya kiislam wewe njoo na njaa zako mwezi huu utakomeshwa tu, wenzako wengi wamerudi kwao bara mpaka mwezi uishe
 
Ni watuhumiwa si wafungwa, mahakamani bado hawapelekwa. Elewa mifumo yakisheria inavyo fanya kazi
Hao wanaweza kwenda rumande japo wiki mbili ndio wataachiwa wakome kula mchana mara nyengine kwenye ardhi ya Zanzibar
 
Yule afande Rama ndiyo aina ya watu wanaotakiwa mwezi huu pale Zanzibar...

Tunazuia watu kula mchana ila ushoga tunaufumbia macho...

Zanzibar imejaa watu wasio na reasoning kabisa...
 
Sauti yetu iko kwenye box la kura kama chichiemu watatuletea bibi wa kizi mkazi.arudi huko.tunawabeba sana halafu bado wanaleta za kuokotwa.tunasubiri tamko la smz na jmt
 
Hawa mara nyingi ni Wazanzibar ambao hawajawahi kutoka hapo au kusafiri nje ya nchi yao.
Wazanzibar tunaoishi nao huku bara hawana itikadi hizo
 
Ulichokiandika umesahau?

Kajikumbushe.
Sina haja ya kujikumbusha mkuu,

Ripoti juu ya yale nimeandika ziko wazi, naweza kukuwekea hapa ukihitaji, video za wale watoto wa the Chanzo hukuona? Unaweza kuzitafuta utizame? Unajua trend ya haya matukio huko yanayoripotiwa kila leo na vyombo vya habari? Au uliamua tu kujibu mkuu?

Narudia tena, siwezi kukukosea heshima au kujibizana na wewe. Wengine tumelelewa katika maadili mkuu. Naomba mjadala kati yetu niufunge na kama nilikukwaza kwa namna yoyote ile, niwie radhi.
 
weka na hii link kwnye uzi wako
MAPYA YAIBUKA: WALIOKAMATWA KWA KULA MCHANA ZANZIBAR, MWANASHERIA AFUNGUKA 'WANAWAONEA'
 
Nilijua unaakili kumbe laah!
Umefunga kula au umejiweka nadhiri kwa Mungu? Huo muda wa kumtafakari Mungu unaanzaje kumuwazia mtu anaye kula?

Dini gani mnatumia nguvu kiasi hicho kumfurahisha Mungu?

Kula ni moja ya hitaji kuu la binadamu na kila mtu hula kulingana na mwili unvyohitaji! Kwa nini mmuzuie?

Nyie baadhi ya waislam tukiwambia uwezo wenu wa akili ni mdogo muelewe !
 
inatosha ukiwa muerevu wewe pekee....

lakini pili,
nina imani yangu thabiti na imara sana...
haiyumbishwi wala kutikiswa na anae kula ama asie kula vipindi vya mfungo....

sijuvungi na wala si mchoyo, kuweka bayana maoni na mtazamo wangu juu ya mambo mbalimbali humu jukwaani, whether ntamuudhi, mkwaza au kumfurahisha mawana famillia wa JF... nitasema tu bila mbambamba...

lakini pia sina stress wala mihemko nikibezwa, nikitukanwa au kuitwa jina lolote apendanyo mtu kuniita as long as ni uhuru wake, just enjoy...

hata hivyo,
nakutakia Heri, Neema na Baraka za Mungu, wewe binafsi, familia na ndugu zako wote, sikukuu ya Pasaka hii ikawe tulivu na amani sana kwenu...
 
Kasome tena ulichokiandika.

Huna lolote zaidi ya porojo za kijinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…