Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.
Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence
Hata hivyo bado waislam wangependa kutafiti ya kisayansi na kupitia tafiti hiyo kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.
Ndugu mkumbuke majibu yenu yataakishi fikra za watendaji wa serikali wenye imani sawa na imani zenu.
Iwapo maamuzi yao yanaathiriwa na imani zao binafsi walizozaliwa na mafundisho ktk majumba yenu ya ibada.
Tunataka kuone mipaka ya kisheria dhidi ya watendaji wanazofanya maamuzi kwa kuongozwa na imani yake kwa migongo wa serikali.
Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia watuhumiwa na kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa kutumia hisia au hasira kutaka kuwadhibiti jamii kwa kutumia sheria zenye viashiria vya ubaguzi. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu.
Wakili msomi Madeleka amejaribu kutoa rai kuhusiana yenye maslahi mapana kwa taifa. Nasikia rai hiyo kuanzia dkk ya 7 ya clip hii.
View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT
Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii iendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.
Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani, familia zilizoathiriwa na kamata kamata.
Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-
1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.
2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.
Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa
3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.
4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.
Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa.
Nihitimishe kwa kusema binafsi naamini tz kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.
Case study ni kesi ya watuhumiwa wa bomu arusha mwaka 2013. ambapo baada tu ya mlipuko kutokea alionekana kijana aliwa Amelia kanzu na kofia akikimbia. Wasamaria wema walimkimbiza na kumkamata, baada ilikuja fahamika anaitwa Ambrose Victor Calist. Hata hivyo haijulikana kwanini polisi walikuja kuwakama mashekhe zaidi ya 10 ambao baada ya kukaa ndani kwa miaka 10, mwaka huu wameachiwa huru kwa kuonekana hawakuhusika.
Jiulize Ambrose Victor Calist yuko wapi, kesi yake imeishaje, alitumwa na nani. Lengo lilikuwa ni kuwakamata nani.
View: https://www.scribd.com/doc/244694287/ANNUUR-1148
Makumi ya Washukiwa wa Ugaidi Waachiwa Huru Tanzania - The Chanzo