Kwanini Addiction ni ngumu kuacha hata kama unajua madhara yake

Ni ngumu sana kutoka kwenye any addiction kama huja tengeneza upya thinking pattern yako.

Kuna wengine hawawezi kuacha kwa sababu tu ya maumivu waliyobeba muda mrefu.

Mfano Kuna wengine hawapendi kufanya masturbation ila kwa kuwa mtu aliumizwa kwenye mahusiano anaona ni Bora kujichua tu ili kujizuia na upwiru kutokumfanya kuingia kwenye mahusiano ambayo hayupo tayari na akapata maumivu tena!

Kuna addiction nyingine ni ngumu kuacha kwa sababu ya muda wa mtu kukaa katika hiyo tabia kwa muda mrefu ... Unaijua arosto?

Niliwahi kuwa addicted na pombe Kali kiasi kwamba nilikuwa pasipo kunywa sipati usingizi na nitatetemeka!

Mtu mmoja aliwahi kusema "Kipindi tunawahukumu walio katika urahibu, tunasahau kuhoji je ni Raha Gani wanayoipata hata kuwafanya kuwa wagumu kuacha"

All in all Mungu ni mwema
 
Doh kitu ilinitesa hadi niiache ni pool table (kamali) hadi nimukuja kuiacha nina miaka mitatu lakini bado siamini kama nimeweza.
Pongezi sana mkuu addiction zinatesa na zinagharimu sana pesa the more unajaribu uache the more unajikuta unazama kwenye tope la hio addiction, inahitaji nguvu ya ziada kujitoa ili kuacha
 
Dah sijui niitaje
Funguka kwa vyovyote inaweza kuwa tiba kwa wengine!

Hakuna kitu kina nguvu kama ushuhuda! Kiroho ushuhuda ni weapon

Na mtu akiona au kusikia mwingine ameweza kufanikiwa katika kuacha jambo fulani ambalo yeye Pengine anahangaika kuliacha humpa hamasa na Chachu ya kuamini na yeye anaweza pia kubadilika
 
Ni ngumu sana kutoka kwenye any addiction kama huja tengeneza upya thinking pattern yako.

Kuna wengine hawawezi kuacha kwa sababu tu ya maumivu waliyobeba muda mrefu.

Mfano Kuna wengine hawapendi kufanya masturbation ila kwa kuwa mtu aliumizwa kwenye mahusiano anaona ni Bora kujichua tu ili kujizuia na upwiru kutokumfanya kuingia kwenye mahusiano ambayo hayupo tayari na akapata maumivu tena!

Kuna addiction nyingine ni ngumu kuacha kwa sababu ya muda wa mtu kukaa katika hiyo tabia kwa muda mrefu ... Unaijua arosto?

Niliwahi kuwa addicted na pombe Kali kiasi kwamba nilikuwa pasipo kunywa sipati usingizi na nitatetemeka!

Mtu mmoja aliwahi kusema "Kipindi tunawahukumu walio katika urahibu, tunasahau kuhoji je ni Raha Gani wanayoipata hata kuwafanya kuwa wagumu kuacha"

All in all Mungu ni mwema
MUNGU ni mwema sana mkuu hata mimi kuna addiction fulani imenitesa yani ilikuwa kila nikiwa na huzuni sana najipozea huko ila nikimaliza najuta sana natamani hata mtu anipige uzito uliokaba moyoni upungue
 
Habari zenu wakuu
Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia
...
Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama:

-Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara makubwa kiroho,kiafya, na kisaikolojia, licha ya kujua hivyo wanaofanya hivyo hawaachi. kwanini?

-unywaji wa pombe, wapo wanatumia pombe na vilevi wanajua madhara yake lakini inakuwa ngumu kuacha, wengine wanajua ila wanabisha licha ya makampuni kusisitiza kunywa kistaarabu wanakunywa kupitiliza wanapata madhara (mf. kupoteza pesa nyingi,hangover kali,kichwa kuuma,matatizo ya moyo,wengine wanaharisha sana) ila hawaachi

-Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke/mume wa mtu
Madhara yake sote tunayafahamu na pengine tunajutia hii tabia lakini sasa kuacha huwa sio rahisi why?

-Kuwa na wapenzi wengi na kufanya ngono zembe
magonjwa ya zinaa,UTI sugu madhara mengine tunayajua
Kwanini bado inakuwa ngumu kuacha hizi tabia na zinginezo japo madhara tunayajua/yanatupata?
Tazama hiyo video hapo chini, utaelewa addiction kwa njia rahisi sana.

View: https://youtu.be/-w8n9UOiBxE?si=18rX0GPNAdR8wMCb
 
MUNGU ni mwema sana mkuu hata mimi kuna addiction fulani imenitesa yani ilikuwa kila nikiwa na huzuni sana najipozea huko ila nikimaliza najuta sana natamani hata mtu anipige uzito uliokaba moyoni upungue
Yes ... Huzuni, maumivu, majonzi yanaweza kumpelekea mtu kuwa kwenye addiction

Laiti watu wangekuwa wanajua mambo wanayopitia wengine kwa Siri yaani maumivu ya ndani. Tusingekuwa watu wa kuhukumu ila kuombeana
 
Funguka kwa vyovyote inaweza kuwa tiba kwa wengine!

Hakuna kitu kina nguvu kama ushuhuda! Kiroho ushuhuda ni weapon

Na mtu akiona au kusikia mwingine ameweza kufanikiwa katika kuacha jambo fulani ambalo yeye Pengine anahangaika kuliacha humpa hamasa na Chachu ya kuamini na yeye anaweza pia kubadilika
Nilipokuwa naanza anza secondary siku moja niliingia gheto la wana nikakuta kuko kimya kuuliza naona wana wako concentrated sana nikajua labda mapindi au wanasolve paper...kumbe wanaangalia blue films aka p*rn0 nami nikachungulia dah niliangalia dakika kadhaa ila badae nikaona kinyaa sana
...
Sikuangalia tena mpaka namaliza form four lakini ile likizo ya kusubiri A-level nilinunua simu(kitochi) aisee asikwambie mtu addiction inapower moja ya ajabu yani nikahangaikia nipate kimemory mpaka nikapata...inaendelea
 
Nalisubiria uwendelee
 
Back
Top Bottom