Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kipindi nilikua na uraibu wa kinywaji cha Azam ukwaju (tamarind) yani kwa siku napiga hata 5 za baridi, nikaja kusoma mahala kuwa ina preservative inaitwa sodium benzoate ikikaa sana inareact inakuwa benzene, na benzene ni chanzo cha blood cancer dah! tokea hio siku niliacha kabisa, japo baadae niligundua ni uzushi. Addiction yangu ikaishia pale!Mimi Nina uraibu wa kahawa jamani nnakunywa kahawa mno... Siyo kina cappuccino wala kahawa nyeusi