Kwanini Addiction ni ngumu kuacha hata kama unajua madhara yake

Hongera sana Mkuu Mungu azidi kukusimamia
Amen mkuu MUNGU ni mwema anatupenda sote nashangazwa na upendo wake kwamba hata uwe na dhambi za kila dizaini hata ziwe mbaya kiasi gani yuko tayari kukusamehe as long as uwe na toba ya dhati na uache
 
We jamaa mwongo na sidhani kama umeacha! Tena umerudisha triggers kama insta, we kila siku unakitupa
Sio kweli nishaacha kitambo yani mpaka nishasahau hizo mambo ni vile nasimulia na nimeanzisha huu uzi ili iwe msaada kwa wanaoteseka na addictions lakini kama huamini ni sawa pia I'm not here to prove nimesema experience zangu mkuu
 
Amen mkuu MUNGU ni mwema anatupenda sote nashangazwa na upendo wake kwamba hata uwe na dhambi za kila dizaini hata ziwe mbaya kiasi gani yuko tayari kukusamehe as long as uwe na toba ya dhati na uache
Upendo wa Mungu ni WA ajabu Sanaa!
Ndio sababu tunasisitizwa kumjua sana Mungu ili tuwe na amani.

Kisa Cha mwana mpotevu ni kisa kinachoelezea maisha ya mtu mdhambi na Mungu mwenye upendo.

God is not, He's the staff ... Ni mwingi wa upendo na rehema
 
Life is a short trip let me Enjoy
(Burning My Midnight Between The RIZZLA)!!
 
Upendo wa Mungu ni WA ajabu Sanaa!
Ndio sababu tunasisitizwa kumjua sana Mungu ili tuwe na amani.

Kisa Cha mwana mpotevu ni kisa kinachoelezea maisha ya mtu mdhambi na Mungu mwenye upendo.

God is not, He's the staff ... Ni mwingi wa upendo na rehema
Kabisa mkuu hakuna linaloshindikana kwake
 
Ubarikiwe sana Mkuu!

Ngoja Mimi niingie prayer!

Mungu azidi kuwahuisha na kuwaponya wote wanaohangaika na addiction mbalimbali.
Kwani huyo Mungu ndiye anaingiza watu kwenye addiction?

Hakuna Mungu anayeingiza watu kwenye addiction. Vilevile Hakuna Mungu wa kutoa watu kwenye addiction au kuponya wenye addiction.

Wakutoa mtu kwenye addiction ni yeye mwenyewe na akili yake
itakapo amua kubadilika.

Mtu asipoamua kubadilika kuacha addiction. Hakuna Mungu, Allah au Yesu waku mponyesha.

Kila kitu ni maamuzi tu.
Hakuna msaada Bora duniani, kama kusaidiwa na Mungu.
 
Habari zenu wakuu
Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia
...
Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama:

-Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara makubwa kiroho,kiafya, na kisaikolojia, licha ya kujua hivyo wanaofanya hivyo hawaachi. kwanini?

-unywaji wa pombe, wapo wanatumia pombe na vilevi wanajua madhara yake lakini inakuwa ngumu kuacha, wengine wanajua ila wanabisha licha ya makampuni kusisitiza kunywa kistaarabu wanakunywa kupitiliza wanapata madhara (mf. kupoteza pesa nyingi,hangover kali,kichwa kuuma,matatizo ya moyo,wengine wanaharisha sana) ila hawaachi

-Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke/mume wa mtu
Madhara yake sote tunayafahamu na pengine tunajutia hii tabia lakini sasa kuacha huwa sio rahisi why?

-Kuwa na wapenzi wengi na kufanya ngono zembe
magonjwa ya zinaa,UTI sugu madhara mengine tunayajua
Kwanini bado inakuwa ngumu kuacha hizi tabia na zinginezo japo madhara tunayajua/yanatupata?
Msingi wa ADDICTION tatizo lipo ndani ya roho wala siyo kwenye mwili........
Hivyo basi ili mtu apone inatakiwa kwanza ROHO yake ipone........
BASI
 
Kwani huyo Mungu ndiye anaingiza watu kwenye addiction?

Hakuna Mungu anayeingiza watu kwenye addiction. Vilevile Hakuna Mungu wa kutoa watu kwenye addiction au kuponya wenye addiction.

Wakutoa mtu kwenye addiction ni yeye mwenyewe na akili yake
itakapo amua kubadilika.

Mtu asipoamua kubadilika kuacha addiction. Hakuna Mungu, Allah au Yesu waku mponyesha.

Kila kitu ni maamuzi tu.
Ni kweli ila pia MUNGU ana nafasi yake
 
Habari zenu wakuu
Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia
...
Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama:

-Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara makubwa kiroho,kiafya, na kisaikolojia, licha ya kujua hivyo wanaofanya hivyo hawaachi. kwanini?

-unywaji wa pombe, wapo wanatumia pombe na vilevi wanajua madhara yake lakini inakuwa ngumu kuacha, wengine wanajua ila wanabisha licha ya makampuni kusisitiza kunywa kistaarabu wanakunywa kupitiliza wanapata madhara (mf. kupoteza pesa nyingi,hangover kali,kichwa kuuma,matatizo ya moyo,wengine wanaharisha sana) ila hawaachi

-Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke/mume wa mtu
Madhara yake sote tunayafahamu na pengine tunajutia hii tabia lakini sasa kuacha huwa sio rahisi why?

-Kuwa na wapenzi wengi na kufanya ngono zembe
magonjwa ya zinaa,UTI sugu madhara mengine tunayajua
Kwanini bado inakuwa ngumu kuacha hizi tabia na zinginezo japo madhara tunayajua/yanatupata?
Hii ya mwisho sidhani kama inahusiana na addiction ila njaa na tamaa za kijinga. Unakuta mdada wa mjini na hawa wa bongo movie kila kukicha wako bize kunadi papuchi zao mtandaoni au kwenye clubs ili waendelee kubaki mjini, kulima hawataki, shule walikataa kitambo, biashara pekee waijuayo ni kuuza papuchi tu na uchawi wa kuiba waume za watu. This is not an addiction at all.
 
Habari zenu wakuu
Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia
...
Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama:

-Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara makubwa kiroho,kiafya, na kisaikolojia, licha ya kujua hivyo wanaofanya hivyo hawaachi. kwanini?

-unywaji wa pombe, wapo wanatumia pombe na vilevi wanajua madhara yake lakini inakuwa ngumu kuacha, wengine wanajua ila wanabisha licha ya makampuni kusisitiza kunywa kistaarabu wanakunywa kupitiliza wanapata madhara (mf. kupoteza pesa nyingi,hangover kali,kichwa kuuma,matatizo ya moyo,wengine wanaharisha sana) ila hawaachi

-Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke/mume wa mtu
Madhara yake sote tunayafahamu na pengine tunajutia hii tabia lakini sasa kuacha huwa sio rahisi why?

-Kuwa na wapenzi wengi na kufanya ngono zembe
magonjwa ya zinaa,UTI sugu madhara mengine tunayajua
Kwanini bado inakuwa ngumu kuacha hizi tabia na zinginezo japo madhara tunayajua/yanatupata?
Mi nilifikiri addiction ni kupiga punyeto tu, kumbe ni uwanda mpana hivi?
 
Wenye imani ya kidini tunasema umekabiliwa na pepo wabaya ambao hawaonekani kwa macho.Kama unajutia unaweza kufanikiwa kuondokana nayo ukiamini kwamba Mungu pekee anaweza kukuponya kama ukijutia hali yako na kuamini ungamo lako.
 
Back
Top Bottom