Kwanini Addiction ni ngumu kuacha hata kama unajua madhara yake

Nilipokuwa naanza anza secondary siku moja niliingia gheto la wana nikakuta kuko kimya kuuliza naona wana wako concentrated sana nikajua labda mapindi au wanasolve paper...kumbe wanaangalia blue films aka p*rn0 nami nikachungulia dah niliangalia dakika kadhaa ila badae nikaona kinyaa sana
...
Sikuangalia tena mpaka namaliza form four lakini ile likizo ya kusubiri A-level nilinunua simu(kitochi) aisee asikwambie mtu addiction inapower moja ya ajabu yani nikahangaikia nipate kimemory mpaka nikapata...inaendelea
Nimepata memory ile na simu ina opera mini yani kila mda ni kudownload hizo videos na3rect mpka dushe inataka kuchomoka dah ila siachi kila siku nipo mzigo nachoshukuru sijawahi kujichua ama kufikiria kujichua nachukia hilo jambo, ikapita muda nikapunguza kuangalia ila sometimes naangalia kupima kama mzigo uko fit (maana nilikua naogopa et hizo videos zinamalika nguvu na kusababisha Erectile Dysfunction) baada imeenda enda nikaacha kabisa but nilivyofika chuo nikaanza tena yani inafika time mpaka nadodge vipindi niangalie hizo mambo.
...
siku moja nikaamua sasa ee MUNGU nisamehe sana nililia sana nikatubu saana nikawa nakwepa vishawishi vyote, nilifuta insta, telegram, Facebook na nikaweka dns setting ili tu nisishawishike kurudia....nikawa natembea in groups ili nisibaki pekeyangu nikaangalia
...
hatimae sasa naona miaka inaenda karibu mitatu nimeacha kabisa hata sifikirii hizo mambo hata nibaki pekeangu yani hata lile wazo tu halipo mitandaoni nilirudi insta feed nikaicontrol haina nud3s, YouTube the same ila nikajitahidi nireplace ile addiction na kitu kingine hicho kitu nimepata ni Jamiiforums aisee walioanzisha hili jukwaa MUNGU awabariki sana humu hua nipo mornile to usiku japo nakuwa bize na kazi
...
Humu yani ndio sehemu yangu ya kuweka kichwa sawa nimejiunga jan5 nashangaa ety saivi me ni JF-Expert member haha 😂
 
Hongera sana Mkuu Mungu azidi kukusimamia
 
Madhara ya kubeti unaweza kuota umeshinda mamillioni na kuamka tu unaona urenda tu kwenye mdomo mkononi zero kabisa🤣
 
Nimepata memory ile na simu ina opera mini yani kila mda ni kudownload hizo videos na3rect mpka dushe inataka kuchomoka dah ila siachi kila siku nipo mzigo nachoshukuru sijawahi kujichua ama kufikiria kujichua nachukia hilo jambo, ikapita muda nikapunguza kuangalia ila sometimes naangalia kupima kama mzigo uko fit (maana nilikua naogopa et hizo videos zinamalika nguvu na kusababisha Erectile Dysfunction) baada imeenda enda nikaacha kabisa but nilivyofika chuo nikaanza tena yani inafika time mpaka nadodge vipindi niangalie hizo mambo.
...
siku moja nikaamua sasa ee MUNGU nisamehe sana nililia sana nikatubu saana nikawa nakwepa vishawishi vyote, nilifuta insta, telegram, Facebook na nikaweka dns setting ili tu nisishawishike kurudia....nikawa natembea in groups ili nisibaki pekeyangu nikaangalia
...
hatimae sasa naona miaka inaenda karibu mitatu nimeacha kabisa hata sifikirii hizo mambo hata nibaki pekeangu yani hata lile wazo tu halipo mitandaoni nilirudi insta feed nikaicontrol haina nud3s, YouTube the same ila nikajitahidi nireplace ile addiction na kitu kingine hicho kitu nimepata ni Jamiiforums aisee walioanzisha hili jukwaa MUNGU awabariki sana humu hua nipo mornile to usiku japo nakuwa bize na kazi
...
Humu yani ndio sehemu yangu ya kuweka kichwa sawa nimejiunga jan5 nashangaa ety saivi me ni JF-Expert member haha 😂
We jamaa mwongo na sidhani kama umeacha! Tena umerudisha triggers kama insta, we kila siku unakitupa
 
Back
Top Bottom