Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Amefanya hivyo kwa hekima maalum na si ubaguziKama mungu habaguii mbona kuna matabaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanya hivyo kwa hekima maalum na si ubaguziKama mungu habaguii mbona kuna matabaka sasa
Nakufuru nini na ipo wazi. Wewe unaakili gani ya kulingana na mzungu?Hakuna kitu kama hicho yani wazungu wawazidi akili waafrika, watu wote ni sawa halafu usikufuru kusema Mungu anabagua
Kwa hiyo wewe unfamiliar mzungu kakuzidi akiliNakufuru nini na ipo wazi. Wewe unaakili gani ya kulingana na mzungu?
Lipo wazi mimi ni mwafrica siwezi kuwa sawa kiakili na mzungu hiyo ni genetic makeup. Mimi hata unipekele shule ya aina gani siwezi kutengeneza chatgptKwa hiyo wewe unfamiliar mzungu kakuzidi akili
SawaLipo wazi mimi ni mwafrica siwezi kuwa sawa kiakili na mzungu hiyo ni genetic makeup. Mimi hata unipekele shule ya aina gani siwezi kutengeneza chatgpt
Kwa hiyo kushindwa kugundua chochote ndo kinakufanya uanze kukufuru. Mbona haujiulizi kuwa mimi ni mzima mbona wengine ni walemavu?katika kitu kinaniumiza kichwa kila siku ni neno TECHNOLOGY-teknolojia. hichi kitu kinanikosesha kabisa FURAHA ya MAISHA. najiuliza sana kwanini mimi nimeshindwa kuvumbua KITU chochote hapa chini ya JUA kinachoweza kuisaidia JAMII yangu? au mimi sikuumbwa na huyu tunayemuita MUNGU? mbona mimi tu? kuna SIRI kubwa SANA hapa katikati, huenda hata huyo MUNGU hayupo, labda kuna JANJA-JANJA fulani mahali ambapo hawa WEUPE wameamua kwa MAKUSUDI kabisa kutuficha kitu, japo AKILI yangu inaniambia nisiwalaumu sana ila niTAFAKARI sana huenda nikapata JIBU na JAWABU hata kama itaGHARIMU MUDA wangu.
Hakika mkuukatika kitu kinaniumiza kichwa kila siku ni neno TECHNOLOGY-teknolojia. hichi kitu kinanikosesha kabisa FURAHA ya MAISHA. najiuliza sana kwanini mimi nimeshindwa kuvumbua KITU chochote hapa chini ya JUA kinachoweza kuisaidia JAMII yangu? au mimi sikuumbwa na huyu tunayemuita MUNGU? mbona mimi tu? kuna SIRI kubwa SANA hapa katikati, huenda hata huyo MUNGU hayupo, labda kuna JANJA-JANJA fulani mahali ambapo hawa WEUPE wameamua kwa MAKUSUDI kabisa kutuficha kitu, japo AKILI yangu inaniambia nisiwalaumu sana ila niTAFAKARI sana huenda nikapata JIBU na JAWABU hata kama itaGHARIMU MUDA wangu.
Kweli.Labda source ni fikra, tuna upeo mdogo wa kifikra.