Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 270
- 412
Sababu ni nyingi sana,lakini zote hizo,zimezalishwa na kubwa ni mbili TU,1-Muingiliano na jamii zingine nyeupe(ikumbukwe baadhi ya miji kama Timbuktu iliwahi kuendelea zaidi ya London wakati huo) na 2-kupungua Kwa common sense(fikiria rais kutoa m5 kila goli,uchawa na upuuzi mwingine,hii imefanya watu wanaotumia common sense kuonekana maginious,mambo anayofanya trump ni common sense kabisa,Kwamba kila mtu ajitegemee, lakini Kuna watu wanamuona ni smart sana na wengine wanamuona kilaza),so kama tunaweza kuwa vigilant enough na kutumia common sense kidogo tu,inatosha kufanya makubwa.