eros
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 503
- 529
Tatizo letu ni la kiroho, kila tunachoona kwa macho ya nyama kimeanzia kwenye ulimwengu wa roho, ulimwengu usio onekana, babu zetu walioshi afrika ya kale walikuwa na maarifa ya kuUfungua ulimwengu usio onekana, tulipoteza uelekeo baada ya kuvamiwa na kuporwa maarifa hayo. Misri, Babeli ya kale ambako ustaarabu wa dunia ulianzia zilikuwa chini ya watu weusi.
HAKUNA KITU TUTAWEZA FANYA KIKALETA MATOKEO MAZURI KAMA HATUTA FANYA JUHUDI ZA KUREJESHA MAARIFA WALIYO KUWA NAYO BABU ZETU.
HAKUNA KITU TUTAWEZA FANYA KIKALETA MATOKEO MAZURI KAMA HATUTA FANYA JUHUDI ZA KUREJESHA MAARIFA WALIYO KUWA NAYO BABU ZETU.