Kwanini Afrika ni masikini? Au kuna mnyororo wa kiroho unaotushikilia tangu mwanzo?

Kiroho ngono unaleta umasikini ukitazama takwimu ngono duniani au mawazo ya ngono yapo sana kusini mwa jangwa la Sahara ambapo kuna extremely poverty na kumebeba robo tatu ya raslimali ( utajiri ghafi)za duniani.
Utajiri ghafi means cheap labour, natural resources oil gas,land mineral etc.
Hata miziki yote ya waafrika ni ya kukatika viuno means ngono hichi ni kiashilia cha mawazo ya ngono 80% ngono inaua fikra za ubunifu.
 
Kwa taarifa yako umaskini unatokana na mambo yetu na mifumo yetu ya maisha kuanzia tunapoamka na kuoneana wivu hadi kulogana na kuchongeana michongo ya kuuana kwasababu mwenzio kafaulu la saba wako alikuwa anaenda kulima badala ya kwenda shule.
Kama mama anaamka asbh anachukua kodi ya mweza kununua vocha ya buku kisha anaingia tiktok kuangali umbea, Urembo wa kucha na kope akimaliza ajirecord video kabinua matako kisha ajipost akimaliza anywe chai alale Unategemea itamchukua miaka mingap akili yake iweze kugundua kuwa mlta ya kawaida inaweza kuboreshwa ikatengeneza gari la umeme au toroli la umeme.
Huyo ni mama unategemea mwanao wa kike anayelelewa na huyu mama atakuwaje na miaka 30 mbele atagundua nini au atakupa wazo gani la maendeleo. Fikiri wakiume anayelelewa na huyu mama pia atajktumaje badala ya kuwa shoda, chawa au mbetiji

Life style ndio tatizo, na maamuzi yetu ya kamati ya roho mbaya.
Sisi hatupendi kushindana bora wote tuvunjike moguu kuliko mmoja afike nikawa wapili


Malezi ila zaidi mifumo yenu ya maisha tu inapswa kubadirika kabisa. Mifumo yenu waliowengi ni uchafu kabisa. Yaan rotten trash kuanzia ukoo hadi familia hadi mtu mmoja mmoja
 
Mada kama hizi huwezi kuta waafrika wanachangia kama zile za ngono na mpira.
Dunia haina huruma na watu masikini
 
True au unakuta mtu analia maisha magumu wakati anamiliki smart office inayotembea
 
 

Attachments

  • 5959215-6b7300c48c43013b94b420cc6e416c60.mp4
    8.3 MB
Mkuu IQ,innovation sijui matakataka gani ni proganda tu za mkoloni fuatilia historia ya black american kama wasingebanwa na mzungu wangekuwa mbali sana hata kwetu bongo tumebakia nyuma sio kwa ujinga bali ni kuchelewa kupata yaliyostahili kwa wakati sahihi.
 
Mkuu nikuulize hili swali ushoga,porn video,nguo za nusu uchi bila shaka zimeanzia Africa?
 
nimeanza-kuamini-ulegelege-wetu-waafrika-kama-bara-katika-maendeleo-unatokana-na-wastani-wa-iq-ya-umma-kuwa-chini-sana-sehemu-ya-ii.2281226
 
Mifumo imeshawekwa kuakikisha Afrika inakua kama ilivyo mpaka mwisho wa dohari. Mifumo iyo ni ya kiuchumi, kielimu, kiimani n.k ambayo inalindwa hata kwa kumwaga damu. Yoyote atakaeonyesha kutaka kuitengua hawezi kubaki salama mfano Gaddafi
 

Wacha kuchanganya hoja, nina uhakika unaelewa hoja ya mleta mada japo unajitia unafiki.
Weusi tuna laana, IQ zetu ni low.
Juzi nilikua naangalia majengo ya Warumi miaka 2,000 iliyopita, walikua na majengo mazuri kuzidi ya kwetu leo, ulinganishe maghorofa ya mjini aliyojenga mzungu hapa Afrika, linganisha na nyumba za Kiafrika za leo
 
Mifumo imeshawekwa kuakikisha Afrika inakua kama ilivyo mpaka mwisho wa dohari. Mifumo iyo ni ya kiuchumi, kielimu, kiimani n.k ambayo inalindwa hata kwa kumwaga damu. Yoyote atakaeonyesha kutaka kuitengua hawezi kubaki salama mfano Gaddafi

Hamna cha mifumo wala Nini, ukweli usemwe tuna laana, hebu angalia hata Wamarekani weusi kutwa kulalamika tu mambo utumwa wa mababu wa mababu zao na kuvaa milegezo wakidunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…