Kwanini Afrika ni masikini? Au kuna mnyororo wa kiroho unaotushikilia tangu mwanzo?

Tatizo letu ni la kiroho, kila tunachoona kwa macho ya nyama kimeanzia kwenye ulimwengu wa roho, ulimwengu usio onekana, babu zetu walioshi afrika ya kale walikuwa na maarifa ya kuUfungua ulimwengu usio onekana, tulipoteza uelekeo baada ya kuvamiwa na kuporwa maarifa hayo. Misri, Babeli ya kale ambako ustaarabu wa dunia ulianzia zilikuwa chini ya watu weusi.
HAKUNA KITU TUTAWEZA FANYA KIKALETA MATOKEO MAZURI KAMA HATUTA FANYA JUHUDI ZA KUREJESHA MAARIFA WALIYO KUWA NAYO BABU ZETU.
 
Kuna Rais aliulizwa kwa nini Tanzania ni maskini akajibu hata yeye hajui
 

1. There are White Africans, good examples are Afrikaners of South Africa (common refered as Boers ).
2. Arabs Africans, mostly available in Western African countries like Morocco, Libya, Tunisia.
All these are not Blacks.
3. Also, there are Black Americans.
Native Black Americans are not Africans even though they have a black skin colour.
They are simply refered as Americans of African origin or Black Americans
 
Hakuna uhusiano wa umaskini wa Afrika na mambo ya kiroho.

Umaskini wa Afrika unasababishwa na ujinga na upumbavu wa waafrika.
Jenga choo cha kisasa kiwe na maji ya kutosha muda wote ila kisiwe na muhudumu eneo la watu wengi km sokoni au stend njoo baada ya wiki mbili utakuta hakifai kwa matumizi....sasa watu ambao hawawezi kutumia choo vizuri watawezaje kutumia maliasili walizojaliwa kuendelea
 
Upumbavu na Ujinga wa Muafrika ,ulisababishwa na nini
Ujinga hausababishwi.

Ujinga ni ukosefu wa maarifa kuhusu kitu au jambo fulani

Kila mtu ni mjinga kwenye eneo, jambo au kitu fulani.

Upumbavu ni kukataa kujua na kubadilika licha ya kujua maarifa ya kitu au jambo husika.

Kwa hivyo upumbavu wa waafrika unasababishwa na waafrika wenyewe kukataa kujifunza na kukataa mabadiliko kwenye nyanja mbalimbali za maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…