stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Angekuwa hana uchu wa madaraka asingemtesa dr Besigye mpaka mzee wa watu ameamua kutulia asijekufa kabla ya wakati wake. Wala asinge mvunja mifupa Boby wine.Mzee Museveni juzi amesema ya kwamba yeye HANA uchu wa madaraka SEMA tu Waganda ndio wanataka aendelee kuwa Rais wao na ndio maana wanamchagua Kila uchaguzi! Ahahahahaha!!!
Sasa ccm utawatoa kwa uchaguzi? Hivi unaamini mtu anaweza kupita kwenye Jimbo au kata bila kupingwa kwa karne hii?Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Ahahahahaha! Yote hayo ameyafanya kwasababu ya mapenzi makubwa aliyonayo kwa Waganda! Ahahahahaha!!!Angekuwa hana uchu wa madaraka asingemtesa dr Besigye mpaka mzee wa watu ameamua kutulia asijekufa kabla ya wakati wake. Wala asinge mvunja mifupa Boby wine.
Hahahahahaha wewe jamaaa umejua kunichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mwingine uganda....yeye Alisha sema wazi wazi......yeye ni kotapini Ile ya kwenye baiskeli...kotapini Huwa inaingia Kwa kugongelewa na nyundo...pia utokaji wake ni Kwa kuigonga....Huwa kotapini haitokagi kirahisi rahisi....
Jiulize ni kwanini ccm iko madarakani ni kwa sababu inapendwaWalianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Kwa ujumla mtu MWEUSI anamatatizo makubwa sana ya kiakili, hebu fikilia mtu upo madarakani kwa zaidi ya miak 20 na bado unang'ang'ania madaraka kwa kutengeneza mifumo mibovu ya Kipolisi, Tume ya uchaguzi, vikundi vidogovidogo vya wakereketwa wanaonufaika kiasi.Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Mwamba huyu hapa 👇Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Kauli sio kutoka uganda bali kwa jirani yake.Kuna mwingine uganda....yeye Alisha sema wazi wazi......yeye ni kotapini Ile ya kwenye baiskeli...kotapini Huwa inaingia Kwa kugongelewa na nyundo...pia utokaji wake ni Kwa kuigonga....Huwa kotapini haitokagi kirahisi rahisi....
Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi?
Jiamini. Kwani ukijibu utapinduliwa??Kama kweli huna majibu, basi hukupaswa hata kujua kuandika, siwezi jibu swali la hovyo namna hii.
Jiamini. Kwani ukijibu utapinduliwa??
Kwa wote.Siku njema