kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Nilikua naangalia nchi kama Jordan walivyo na changamoto ya maji yaani maji ni shida aisee
Nikaangalia na Israel si haba wanajitahidi japo changamoto, nchi nyingi za kiarabu wana shida ya maji kinoma nachomaanisha hawana vyanzo vya uhakika vya maji.
Africa mito mingi huishia baharini tu yaani maji yanapotea bure tu.
Kwanini tusiwauzie hao watu maji wawe wanalipia bili tunaingiza mabilioni ya pesa?
Ni jambo linalowezekana kabisa....tungeingiza pesa ndefu sana