Ni wazo zuri aisee,Nilikua naangalia nchi kama Jordan walivyo na changamoto ya maji yaani maji ni shida aisee
Nikaangalia na Israel si haba wanajitahidi japo changamoto, nchi nyingi za kiarabu wana shida ya maji kinoma nachomaanisha hawana vyanzo vya uhakika vya maji.
Africa mito mingi huishia baharini tu yaani maji yanapotea bure tu.
Kwanini tusiwauzie hao watu maji wawe wanalipia bili tunaingiza mabilioni ya pesa?
Ni jambo linalowezekana kabisa....tungeingiza pesa ndefu sana
Nawaza tu huo mfereji si lazima utapita kwenye nchi za watu wengine utawezaje kuwazuia wasiteke maji yako unayoyapeleka izo pande
Halafu tunahubirwa eti zimebarikiwa kweli halafu sisi tulilaaniw.
Unalaniwa kisha unapewa ardhi nzuri yenye rutuba mito, maziwa bahari, madini, gesi, mafuta nk.
Waafrika tijitafakari, ujimga mwingine tuwe tunaukataa hata kama umeandikwa.
Nilikua naangalia nchi kama Jordan walivyo na changamoto ya maji yaani maji ni shida aisee
Nikaangalia na Israel si haba wanajitahidi japo changamoto, nchi nyingi za kiarabu wana shida ya maji kinoma nachomaanisha hawana vyanzo vya uhakika vya maji.
Africa mito mingi huishia baharini tu yaani maji yanapotea bure tu.
Kwanini tusiwauzie hao watu maji wawe wanalipia bili tunaingiza mabilioni ya pesa?
Ni jambo linalowezekana kabisa....tungeingiza pesa ndefu sana
Inasikitisha sanaHafu utakuta kuna mtu anamuita Baba uyu jamaa.
Mbongo bhana ivi huwa unafikiria kutumia makamasi.. bomba la mafuta na mfereji vinaingiliana vipiKwahiyo bomba la mafuta mfano TAZAMA unaweza kujichotea tu hapo njiani kijijini kwenu?
Mbongo bhana ivi huwa unafikiria kutumia makamasi.. bomba la mafuta na mfereji vinaingiliana vipi
Nyie nao ni wapumbuvu why? Msijenge nyumba zenu karibu na humo mnakofata maji mnajenga mbali kisha mnaenda kuyafata.Aisee hapa kijijini kwangu maji tunadamka SAA 9 usiku kuwahi...na kurudi SAA 5 asubuh na ndoo moja ya maji...halafu tuwauzie waarabu maji daaaah