Kwanini Afrika tusichimbe mfereji hadi Israel na Uarabuni kuwauzia maji?

Hapa tulips TU maji Shia ,tumeshindwa wasamvazia wananchi wetu I we kuyapeleka Uarabuni?
 
Huko
Nyie nao ni wapumbuvu why? Msijenge nyumba zenu karibu na humo mnakofata maji mnajenga mbali kisha mnaenda kuyafata.
Yanapopatikana maji mkuu hapafai kuishi raia kuna MAJOKA na MIJOKA ya kufa mtu halafu HAKUNA huduma muhimu zaidi ya hayo Maji
 
Kwani gharama yankusafisha maji ya baharini na gharama ya kuchimba huo mfereji ziko ==
 
Δ°srai wana badili maji ya Bahari kuwa ya matumizi, hawana shida ya maji wale,
 
Inawezekana, ila tutaingia kwenye migogoro ya kimataifa...
 
Sisi pamoja na vyanzo vyote vya maji ila bado kina mama wanatembea maili kadhaa kutafuta maji

Hao uliowataja wana maji mengi tu ya kuwatosha
Jordan nimekaa Amman miezi 2 na kwingine kote Middle East nimekaa sana na wana Aquifer sehemu nyingi na kupatikana maji masafi

Tupambane kuwachimbia watu wetu maji ya uhakika kwanza
 
Ukiwa na STRESS wewe ingia tu JF STRESS zote zinakwisha kwa kucheka na siku inasonga mbele kwa kusoma kila aina ya topics zingine zinafikirisha zingine zina chekesha nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…