Kwanini ahirisho la kesi ya Tundu Lissu linachukua siku 14 mara zote?

Kwanini ahirisho la kesi ya Tundu Lissu linachukua siku 14 mara zote?

bob_fundi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2025
Posts
457
Reaction score
705
Habari wanaJF,

Naomba kuelewa hapo kwanini kesi ya Lissu inachukua wiki mbili mpaka kusikilizwa tena.

Pili naomba kujua yule anayekaa chini ya hakimu ni nani Na kazi yake ni ipi

Naomba anay jua hayo mambo anipe msaada na mimi nielewe tu .
 
Pili naomba kujua yule anaye kaa chini ya hakimu ni nan? Na kazi yake ni ipi
Karani (Court Clerk)
Kazi yake:: Kusoma Mashauri yote mahakamani na kuandaa mashauri yote ya kesi za mahakama, kuandaa mafaili ya kesi, kuandaa majalada ya kesi zote mahakamani, malipo yako ya mahakamani risti anakupa yeye

Kwa uchache hizo ndio kazi zake
 
Asante sana
 
uko sahihi asije hisi ni cheo Cha amosi makala wa ccm
Hawachelewi wanaweza wakajua umemtaja A Makalla kwenye maelezo kumbe huko kwenye Sheria CPA ni Criminal Procedure Act mtu kakomaa CPA fulani CPA fulani kumbe wenzao wanawachora tu
 
Pale mahakamani hakuna hakimu mwenye akili timamu wote naona vichwa vyeupe, ndio Hawa tunawasomesha kwa mkopo wa bodi ya elimu ya juu....yaani akili kama zile haziwezi kuamua kulingana na professional yake...sijui hata walienda kusomea Nini?? Yaani kusoma kwa mkopo ni shida sana, wanaosubiri mwanasiasa awaambie Cha kuamua
 
Back
Top Bottom