Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,928
- 2,867
My experience as hiyo ni njia yangu! Watu wengi wanaopata ajali eneo hilo huwa wamekunywa na pia ajali nyingi huwa late night.Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha.
Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF Mstaafu Rubani Mahiri wa Ndege Vita Jenerali Robert Mboma tu?
Kuhusiana na hili nililoliweka hapa nitapenda nitapenda nipate Majibu ya Kisayansi ( Kitaalam ) na yale ya Imani zetu za Uswahili Uswahili / Uenyeji Uenyeji kwani huenda tukapa Suluhisho juu ya eneo hilo ( hili ) kuwa Machinjioni kwa Vijana wanaoanza Kutajirika na Kufanikiwa Kimaisha.
Cc' Bujibuji Simba Nyamaume na nategemea sana Uchambuzi wako kwani 95% ya Maisha yako na hata Kulewa Kwako huwa ni eneo hilo hilo tena 'Sometimes' ukiwa na Ndugu zangu ( wa Kizanaki ) na Mademu zenu Wasioeleweka.
Ntakupa mfano: last week jumamos going to jumapili nilikuwa na flight ya mwanza ya saa kumi na moja asubuh… nilitoka home saa 9 tulipofika hapo njia panda ya tank bovu tulikuta ajali ya fuso na paso ya silver, too bad wa kwenye paso alikuwa anasalimiana na Bwana Yesu ( mliopita hapo mida hiyo nadhani mliona ajali husika) As usual chanzo cha ajali was ulevi!