Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Kwanini Ali Kiba anashindwa kumsaidia Abdul Kiba ndugu yake

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Sifahamu vizuri undugu au ujamaa wao Lakini inasikitisha sana msanii maarufu Afrika Mashariki anayetamba na ngoma ya seduce me Ali Kiba kushindwa kumpa support Abdul Kiba.

Baraka da prince alikimbia lebo yao, Ommy Dimpoz kaingia ni good signing,lady jay dee yupo kwenye lebo ya AliKiba Rockstar4000 Diamond Platinumz kawainua wasanii kama harmonize, Rayvanny, etc lakini sio ndugu zake.
 
Cfahamu vzur undugu au ujamaa wao. Lakn inasikitisha sana msanii maarufu Afrika Mashariki anayetamba na ngoma ya seduce me Ali Kiba kushindwa kumpa support Abdul Kiba. Baraka da prince alikimbia lebo yao, Ommy Dimpoz kaingia ni good signing... lady jay dee yupo kwny lebo ya AliKiba. Rockstar4000... Diamond Platinumz kawainua wasanii kama harmonize, Rayvanny, etc lakn c ndugu zake...

Yeye mwenyewe Ally Kiba anahitaji Msaada
 
"Kama una kipaji iweje ufe na njaa"
Yaani unataka amsaidie kufanyaje haswa?
 
Cfahamu vzur undugu au ujamaa wao. Lakn inasikitisha sana msanii maarufu Afrika Mashariki anayetamba na ngoma ya seduce me Ali Kiba kushindwa kumpa support Abdul Kiba. Baraka da prince alikimbia lebo yao, Ommy Dimpoz kaingia ni good signing... lady jay dee yupo kwny lebo ya AliKiba. Rockstar4000... Diamond Platinumz kawainua wasanii kama harmonize, Rayvanny, etc lakn c ndugu zake...

This is family matter we yanakuhusu nn
 
Ye mwenyewe anasaidiwa atawezaje kumsaidia mwingine.
 
Back
Top Bottom