Kwanini Aluminium furnitures ni ghali sana?

Kwanini Aluminium furnitures ni ghali sana?

Wanasema dirisha linalouzwa 230,000 materials zake zinagharimu kama 50,000 tu au pungufu. Ni upigaji na kwasababu bei iliokuwepo imezoeleka na kukubalika.
Si kweli material ni gharama sana
 
Facts zinaonyesha kuwa maeneo mengi ya baridi hapa nchini ndipo mbao pia huzalishwa. Yaani miti hustawi sana maeneo hayo.
Huko mbao Huwa bei SAWA na Bure mkuu.
hizo mbao unazozingumzia hazina ubora wa kutengenezea frame za milango wala madirisha ukiweka tu mchwa wanautafuna dakika tu, miti pori ndio inaaminika kwa ubora wa faniture,sasa upatikaji wake ni wagharama ya juu sana kwa miaka hii ,over.
 
Hili neno linatumika sana kwa aluminium dealers. Lina maana gani?
Ni yale machuma yanayotengeneza madirisha mkuu ndo yanaitwa profiles ambapo kwa aliminum kuna cill jam, mosquito na nyngne moja nmesahau. Niko nje ya game muda vitu nasahau
 
Back
Top Bottom