- Thread starter
- #61
hapa nilipo wanafanya 120,000 per sq mMkuu si kweli kwamba dirisha linalouzwa 230000 material yake 50000 ingekuwa hivyo basi mafundi wangekuwa matajiri sana.
Nimefanya hii biashara naijua tena kipindi hicho square meter tulikuwa tunapiga 150000 na material zilikuwa cheap zaidi ya sasa lakini bado isingewezekana dirisha la 230000 material kuwa 50000.