Kwanini Aluminium furnitures ni ghali sana?

Nimejiuliza swali hilo kila mara.
Nini kinasababisha Aluminium furnitures kuwa ghali sana.
My observation ni kuwa they are not labour intensive...ni kata unganisha kirahisi and all is done!
Au. Material yanyewe ndiyo ghali?
Waste metal/iron tani moja ni Tsh 1,000,000
Waste ya aluminium tani moja kwasasa inacheza 5,700,000 mpaka 6,000,000
Na ili dirisha moja likamilike unahitaji
Hizo aluminum profiles aina saba tofauti
Jam
Cill
Top
Bottom
Mosquito
Hook
Wire mash
Kioo
Accessories
 
Hivyo vipimo ulivyoweka ni vyq kutengeneza dirisha moja? Kama uliwahi kufanya hii biashara lazima ungekuwa unajua cost ya dirisha moja. Kuna mtu hata humu JF alinunua material na kutengeneza yeye mwenyewe kama sijasahau yeye cost ilikuwa 80,000 dirisha moja.
Mkuu nimefanya hii biashara 2016 mpaka 2019 nilikuwa na workshop nilimwachia ndugu yangu. Lazima upige hesabu tu kwa sababu kila cm inahusika kwenye mataerial. Na dirisha unaloambiwa 6 kwa 6 haijawahi kutokea ukalikuta ni 6 kwa 6. Nimekuweka vipimo ili upige mwenyewe chukulia mfano dirisha la 5x6 ft ndipo utajua kuwa faida haikokama unavyowaza.
Yes, ukinunua material ukamlipa fundi labor charge una save lakini hii ni kama una madirisha mengi.
Mkuu wewe unaamini kabisa dirisha la 250000, fundi anachukua 200000 yote? Mafundi aluminum wangekuwa matajiri sana
 
Zamani ndy mafundi walipiga hela kwa sasa mmh

Ova
 
Weka madirisha tu ya mbao Mkuu
Unaweka.
Tatizo la waafrica ni ushamba unawasumbua.
Unakuta mtu sehemu ina baridi anaweka aluminum sliding dirisha na doors badala ya kutumia mbao.
Au sehemu Ina baridi mtu anaweka tiles badala ya floor ya mbao. Ni ujinga na ni ushamba.
 
Si ujinga ni gharama. Mbao ni gharama kuliko aluminum. Wakati kwa 250-280 unaweka mlango wa aluminum chooni na kila kitu umemaliza. Ila mlango wa mbao wa choo si chini ya 250k bado hujaweka frem, bado hujaweka kitasa bado hujaweka bawaba.
So unaona kuwa mbao ni ghali wala si cheap.
 
Facts zinaonyesha kuwa maeneo mengi ya baridi hapa nchini ndipo mbao pia huzalishwa. Yaani miti hustawi sana maeneo hayo.
Huko mbao Huwa bei SAWA na Bure mkuu.
 
Unaweka.
Tatizo la waafrica ni ushamba unawasumbua.
Unakuta mtu sehemu ina baridi anaweka aluminum sliding dirisha na doors badala ya kutumia mbao.
Au sehemu Ina baridi mtu anaweka tiles badala ya floor ya mbao. Ni ujinga na ni ushamba.
Floor ya mbao bei ni nzito kidogo.
 
Facts zinaonyesha kuwa maeneo mengi ya baridi hapa nchini ndipo mbao pia huzalishwa. Yaani miti hustawi sana maeneo hayo.
Huko mbao Huwa bei SAWA na Bure mkuu.
Pia nadhani finishing. Wabongo wanapenda finishing ndiyo maana kuna wakati watu walikuwa wanaopt kununua kabati na meza za mdf za mchina kuliko mbao made hapa kwa sababu ya finishing.
Mtu anakutengenezea dirisha la mbao la ajabu kabisa.
Na pia mbao za floor zina special treatment ndiyo maana hata ukimkuta mtu kaibandika mara nyingi ni imported
 
Mmh.....haya ndio yale ya kufayatua Tofali mwenyewe kwa kuogopa kununua. Unaokoa kidogo sana na unapoteza muda mwingi
unazungumziaje hizi tofali za kununua ambazo zinapukuchulika kama biskuti.

Kama mtu anamsuli wa kufyatua tofali bora afyatue kulipo hizi takataka wanazouza site za matofali.
 
Si kweli watu mnaongea tu. Kutengeneza dirisha la aluminum unahitaji materials hizi: cill, jam, mosquito, lock, rollers, rubber ya vioo, ruber ya wavu wa mosquito, kioo, mosquito net, rivert, screws.
Hapo hujaweka umeme na labor charge na umeme. Ninachoweza kukwambia, kama mtu akikwambia gharama labda 3.5, kama kazi ingeenda sawa hapo anaweza kupata faida ya lak 4-8.
Hii kazi nimeifanya naijua na nina mpango wa kurudi baada ya kuwa nje ya game kwa miaka kama nane.
Ghali kama materials yakawa yako ila nikinunua materials mwenyewe ni rahisi mno.
Mi nimenunua materials mwenyewe fundi kaja na bench grender tuu kwangu nimesevu hela kibao na bado material yalibaki
 
Na wewe umetengeneza dirisha la 250k kwa material ya 50k?
 
UPVC dirisha 6x6 vifaa likaja 240000? Basi umetenda miujiza kama ya mwamposa. KWanza hakuna fundi anayeweza kukupa bei ya dirisha la upvc 6x6 kuwa 350000 maana ni zaidi ya hapo.
Pili madirisha ya upvc yanaungwa kwa mashine maalum ya welding ya hayo maplastic ambayo mafundi wengi hawana maana bei zake zimeshiba sana.
Sasa wewe unasema fundi alikuja na grinder na bench. Mkuu una uhakika umeweka upvc kweli au umeweka aluminum?
UPvc funfi aliniambia dirisha la 6x6 laki 350000 nimenunua vifaa mwenyewe nimepiga hesabu limedondokea 240000 dirisha moja pamoja na ufundi .
Na mzigo nimezama kwa wachina mwenyewe kununua hadi kioo nimeenda kukatia huko huko
 
Si kweli watu mnaongea tu. Kutengeneza dirisha la aluminum unahitaji materials hizi: cill, jam, mosquito, lock, rollers, rubber ya vioo, ruber ya wavu wa mosquito, kioo, mosquito net, rivert, screws.
Hapo hujaweka umeme na labor charge na umeme. Ninachoweza kukwambia, kama mtu akikwambia gharama labda 3.5, kama kazi ingeenda sawa hapo anaweza kupata faida ya lak 4-8.
Hii kazi nimeifanya naijua na nina mpango wa kurudi baada ya kuwa nje ya game kwa miaka kama nane.

Mkuu hapo bado umesahau, chuma ya Plain na hook pia Top na brush/nyoya,

Kuna mdau ameandika hapo kwamba 50,000/ inatosha dirisha,
Wakati hapo unapata Jam moja na box la rivet tu,

Jambo kama huna taaluma nalo jipitie tu, sio kupotosha watu ili mafundi waonekane wezi,

Pia aliesema mbao ni ghali kuliko Aluminium, bado hajakutana na Profile ya EURO nyeusi, Frame moja inauzwa 180,000/
 
Mkuu watu wanasema tu. Kuna mwingine anasema eti fundi alimwambia dirisha la upvc 6x6 ni 350000 akaamua kununua material fundi aje atengenezee kwake likagharimu 240000.
Eti fundi alikuja na bench na glinder. Sasa nmemuuliza ana uhakika ameweka upvc kweli Maana upvc inaungwa kwa mashine maalum ambayo bila shaka fundi hawezi kuja nayo site. Na hakuna fundi anayeweza kukwambia upvc 6x6 ni 350000 maana hiyo ni cheap sana sawa na bei ya aluminum.
Nimemwambia basi alitenda miujiza kama mwamposa.
 
Wanasema dirisha linalouzwa 230,000 materials zake zinagharimu kama 50,000 tu au pungufu. Ni upigaji na kwasababu bei iliokuwepo imezoeleka na kukubalika.
Unaweza kuwa sahihi, sdhani kama aluminium ni madini/material ghali kiasi hicho
 
Sababu ni ujinga wa walaji au ujinga wa wateja ndio maana mafundi wanatumia fursa hiyo kuwapiga bei kubwa wateja. Kama una mradi wako wa aluminum furniture zama sokoni mwenyewe angalia bei za material ya aluminium na vioo kwa bei ya jumla na uvinunue kutokana na mahitaji kwa kumtumia mtaalamu unamlipa kidogo halafu tafuta fundi yeye kazi yake ni kutengeneza tu.
una point!
 
Back
Top Bottom