mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Miaka ya nyuma chuma ilikuwa rahisi ila kwa sahv zimepanda,vyuma vyenyewe imported hapo watakuambia kuna kodi kubwa blah blahHata huko huko vijijini bado kwa maisha yao ni ghali mno
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya nyuma chuma ilikuwa rahisi ila kwa sahv zimepanda,vyuma vyenyewe imported hapo watakuambia kuna kodi kubwa blah blahHata huko huko vijijini bado kwa maisha yao ni ghali mno
Yah nyumba inapendeza sana hasa kwa upvc au aluminum ya cm 10 ambayo watu wanaona kutumia aluminum ya cm 10 bora aweke upvc maana tofauti yake ndogo sana.Hizo material zinaagizwa kutoka Ulaya na China, kodi kibao.
Upvc na aluminium zinapendeza sana. Nyumba ikipigwa inavutia mno
Wakati unasema bei ya material niliosema sio sahihi ungewewka bei sahihi ingependeza.Mkuu si kweli kwamba dirisha linalouzwa 230000 material yake 50000 ingekuwa hivyo basi mafundi wangekuwa matajiri sana.
Nimefanya hii biashara naijua tena kipindi hicho square meter tulikuwa tunapiga 150000 na material zilikuwa cheap zaidi ya sasa lakini bado isingewezekana dirisha la 230000 material kuwa 50000.
Mfano tu dirisha..vyuma vyakeSi kweli watu mnaongea tu. Kutengeneza dirisha la aluminum unahitaji materials hizi: cill, jam, mosquito, lock, rollers, rubber ya vioo, ruber ya wavu wa mosquito, kioo, mosquito net, rivert, screws.
Hapo hujaweka umeme na labor charge na umeme. Ninachoweza kukwambia, kama mtu akikwambia gharama labda 3.5, kama kazi ingeenda sawa hapo anaweza kupata faida ya lak 4-8.
Hii kazi nimeifanya naijua na nina mpango wa kurudi baada ya kuwa nje ya game kwa miaka kama nane.
Milango ya aluminum? Milango huwa hata mafundi wengi anapokuwa anakupa hesabu vipimo vyake vinajulikana milango ya chooni na ya vyumba huwa zinatofautina cm kidogo tu kutokana na ujenzi wa fundi milango haiwezi kulingana ila size huwa ni sawa.Milango ya bafuni na vyooni inatakiwa kuwa na vipimo gani ili iwe migumu kuharibika
Upvc ikipigwa jua sana inatanukaYah nyumba inapendeza sana hasa kwa upvc au aluminum ya cm 10 ambayo watu wanaona kutumia aluminum ya cm 10 bora aweke upvc maana tofauti yake ndogo sana.
Inategemea na mbao, ukubwa wa mlango na eneo ulipo.Hizo mbao zenyewe unaensa huko vijijini kumejaa miti lakini Mlango unaambiwa bei laki 2 na 50. Sasa si bora Aluminium laki 3 na 50 unachapa. Hamsumbuani usafirina mlango una shine
Ndio, na ukiona mbao ni ghali sana ujue sababu ni aina ya mbao. Kuna miti ili uvune mbao yake itabidi upande wewe alafu aje kuvuna mjukuualuminum ni cheap kuliko mbao hasa madirisha. Ukiweka madirisha ya mbao kwa mfano mninga itakuwa ghali zaidi ya aluminum. Labda upvc ndiyo inaweza kuwa ghali zaidi na sijui kwanini materials zake ni ghali wakati ni maplastic fulani
Mkuu itabidi upige hesabu mwenyeweWakati unasema bei ya material niliosema sio sahihi ungewewka bei sahihi ingependeza.
Lakini matajiri na maghorofa yao wanayapenda. Sasa hii ndo ina pesa. Tajiri akikupa tenda ya ghorofa faida ya mills kadhaa nje nje.Upvc ikipigwa jua sana inatanuka
Bora aluminium
Ova
Hizi mambo sijui za mbao ngumu na mbao laini. Ni kujipa gharama zisizohitajika.Ndio, na ukiona mbao ni ghali sana ujue sababu ni aina ya mbao. Kuna miti ili uvune mbao yake itabidi upande wewe alafu aje kuvuna mjukuu
Kwenye matofari usidanganye watu. Kufyatua ni nafuu mara mbili kuliko kununua.Mmh.....haya ndio yale ya kufayatua Tofali mwenyewe kwa kuogopa kununua. Unaokoa kidogo sana na unapoteza muda mwingi
Tatizo ni biasharaHizi mambo sijui za mbao ngumu na mbao laini. Ni kujipa gharama zisizohitajika.
Hapo Dar na miji mingine huko Mikoani wazee wamejenga nyumba za makuti, za udongo zina miaka 50yrs plus.
Ulishawahi kuona mlango kwenye nyumba umechanika eti kwa sababu sio mbao ngumu? Mimi sijawahi ona.
Mbao ni mbao tu unless ni matumizi special
😄Hizi mambo sijui za mbao ngumu na mbao laini. Ni kujipa gharama zisizohitajika.
Hapo Dar na miji mingine huko Mikoani wazee wamejenga nyumba za makuti, za udongo zina miaka 50yrs plus.
Ulishawahi kuona mlango kwenye nyumba umechanika eti kwa sababu sio mbao ngumu? Mimi sijawahi ona.
Mbao ni mbao tu unless ni matumizi special
Dirisha la futi 6 kwa tano, minimum charges ni laki 2 na 50 bila labour. Tena hapo ni Mjini kuna karakana kibao. Akiweka na labour chaji ya 50 inadondokea kwenye laki tatu na upuuzi.Mkuu itabidi upige hesabu mwenyewe
Mfano:
yale machuma yanayotenggeneza dirisha yako hivi;
Cill ina urefu wa 580 cm: bei yake moja inaanzia 40000-45000 kutegemea ni brand gani
Jam urefu 580cm bei 40000-450000
Mosquito 580cm bei 15000
kuna angle bei nimesahau lakini itakuwa 30000 hivi.
mosquito net mara mwisho roller yake ilikuwa 60000
Rollers za shutter - moja ni kati ya 500-1000 kila shutter inabeba roller 2
Roller za mosquito - 300-500 kila dirisha lina shutter 1 mosquito na kila shutter roller 2
Kuna fesna na lock zake. hii ndo ile ya kubana dirisha - 2000-5000 kutegemea na aina
kuna screw za kuunanisha aluminum box nadhani 5000
kuna screw za kufunga dirisha ukutani sikumbuki bei
kioo 5mm ukubwa w futi 7 kwa 6 ni 95000
bado labor charge, bado umeme,
Sasa hebu piga kwa ukubwa wa dirisha lako utaelewa kuwa haiwezekani dirisha moja linalochajiwa 250000 material zake zikawa 50000 tu.
nimekuwekea vipimo ili ujue kwa urefu wa kila kitu unaweza kutoa dirisha ngapi.
Hivyo vipimo ulivyoweka ni vyq kutengeneza dirisha moja? Kama uliwahi kufanya hii biashara lazima ungekuwa unajua cost ya dirisha moja. Kuna mtu hata humu JF alinunua material na kutengeneza yeye mwenyewe kama sijasahau yeye cost ilikuwa 80,000 dirisha moja.Mkuu itabidi upige hesabu mwenyewe
Mfano:
yale machuma yanayotenggeneza dirisha yako hivi;
Cill ina urefu wa 580 cm: bei yake moja inaanzia 40000-45000 kutegemea ni brand gani
Jam urefu 580cm bei 40000-450000
Mosquito 580cm bei 15000
kuna angle bei nimesahau lakini itakuwa 30000 hivi.
mosquito net mara mwisho roller yake ilikuwa 60000
Rollers za shutter - moja ni kati ya 500-1000 kila shutter inabeba roller 2
Roller za mosquito - 300-500 kila dirisha lina shutter 1 mosquito na kila shutter roller 2
Kuna fesna na lock zake. hii ndo ile ya kubana dirisha - 2000-5000 kutegemea na aina
kuna screw za kuunanisha aluminum box nadhani 5000
kuna screw za kufunga dirisha ukutani sikumbuki bei
kioo 5mm ukubwa w futi 7 kwa 6 ni 95000
bado labor charge, bado umeme,
Sasa hebu piga kwa ukubwa wa dirisha lako utaelewa kuwa haiwezekani dirisha moja linalochajiwa 250000 material zake zikawa 50000 tu.
nimekuwekea vipimo ili ujue kwa urefu wa kila kitu unaweza kutoa dirisha ngapi.
Unakuta mtu anahangaika na vitu vya gharama kubwa sana hadi inamshangaa......kufata mkumbo tu.😄
Ova
Mkuu dirisha haliwezi kugharimu materials elfu 80. Then likauzwa laki tatu na 50. Big No. Hakuna biashara hiyo dunia hiiHivyo vipimo ulivyoweka ni vyq kutengeneza dirisha moja? Kama uliwahi kufanya hii biashara lazima ungekuwa unajua cost ya dirisha moja. Kuna mtu hata humu JF alinunua material na kutengeneza yeye mwenyewe kama sijasahau yeye cost ilikuwa 80,000 dirisha moja.