Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Kwahiyo kwa sababu Kikwete havukaa hivyo na Magufuli alitakiwa amgeze Kikwete? sasa si ujinga huo,nina hakika kama sio kujistiri basi Mama Samia angevaa hizo gwanda ili kuonesha kuwa ni Amiri jeshi mkuu pamoja na kuwa ni mwanamke.
Usimuamulie kwa kutaka kubariki maamuzi ya mungu wenu alivyofanya.

Mama Samia hana mambo ya kutafuta masifa
 
Hao woote ni wazee wapenda kiki tu
 
Mkuu huna ujualo,acha chuki binafsi,huyu aliyevaa gwanda ni babu yako?
 
Awamu ya tano tulipatikana sana , naamini hatutokuja kupata Rais kituko na mshamba tena. Kuna siku alivaa gwanda na mikobazi aibu sana..... Na ukifuatilia kwa undani vijana wengi wa CCM hasa wa Mataga ndio Jamii ya Hayati wengi umasikini ndio lugha yao , kutwa kuhubiri umasikini..Tumshukuru mungu katuvusha.
 
JK alikuwa mjeshi kamili lakini hajawahi kufanya huo ulimbukeni
 
Usimuamulie kwa kutaka kubariki maamuzi ya mungu wenu alivyofanya.

Mama Samia hana mambo ya kutafuta masifa
Na Jiwe alivaa kwa uamuzi wake hivyo kulikuwa hakuna haja ya kusema Kikwete hakuvaa hivyo mlitaka na Jiwe nae asivae, kuhusu misifa anayo si ndio maana akamchagua Mwigulu maksudi huku akijua nyie hamtaki na huku akiwaambia wenye kununa na mnune.
 
Kwa hiyo Amir jeshi kuvaa combat ni ulimbukeni
 
Mkuu ingawa unaweza ukahisi ni tofauti, ila sio vizuri mkuu/viongozi wa nchi kuvaa nguo za jeshi. Inaleta picha mbaya. Ni vile tumezoea kuona viongozi wetu wakipenda kuvaa magwanda, ila haitakiwi.

Inafifisha dhana ya civilian control of the armed forces, ambayo ni muhimu sana katika mfumo wa kidemokrasia, kijeshi na siasa.
 
Kikatiba ni ibara ya ngapi kifungu kidogo cha ngap??
 
Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
Kuwa mshamba na kutengeneza maisha havina uhusiano, unaweza kuwa mshamba lakini zari likakudondokea ukawa mpaka Rais ila haiondoi hali ya wewe kuwa mshamba. Ref Jiwe
 
🀠 labda alitaka kuwaogopesha tu, kwamba anauwezo hata wa kuingia msituni
 

Alikuwa mshamba kweri kweri,

Unaanzaje kubeba wanyama mbugani na kupeleka kwenu kutengeneza mbuga yenu??

Hata nchi alitaka kuongoza kishamba kishamba tuh,hata kina nape na kinana walipodukuliwa walisikika wakisema kuwa JAMAA NI MSHAMBA SANA...!!
 
Hana ushamba huo wa kuvaa uniform hali si mwanajeshi
 
Hayati Marehemu MWEHU. Eti nimetoa hela zangu!!!! Pumbavu kama ni zake mbona watoto wake hawajarithi! MWEHU!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…