Sidhan kama Mama ana ushamba kama wa JiweKwahiyo kwa sababu Kikwete havukaa hivyo na Magufuli alitakiwa amgeze Kikwete? sasa si ujinga huo,nina hakika kama sio kujistiri basi Mama Samia angevaa hizo gwanda ili kuonesha kuwa ni Amiri jeshi mkuu pamoja na kuwa ni mwanamke.
Unagombana na hayati?Sasa umesikia nimeomba chochote kwake! Najimudu kwa kiasi nilichaajiriwa mimi siwezi mapambano aliyoyafanya yeye(kuuwa watu na kudhulumu haki za wengine) eti ili tu nipate mapesa mengi yatakayokuja kutumiwa hadi ma vitukuu vyangu.
Uhuru KenyattaRais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
Kwani rais Kikwete kipindi alipokuwa madarakani aliwahi kuvaa?Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??
Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Wewe mshamba nitajie ibara ya Katiba inayomtaka avae mavazi hayo. Nilichokuambia ni mapendekezo yake na siyo takwa la kikatiba. Bwege wewe.Na huyu Obama naye? ,punguza chuki mkuu,utakufa kabla ya umri wako,View attachment 1755313
Ndiyo maana Mungu ameingilia kati maana jamaa alikuwa anaivuruga tu nchi.Alikuwa mshamba kweri kweri,
Unaanzaje kubeba wanyama mbugani na kupeleka kwenu kutengeneza mbuga yenu??
Hata nchi alitaka kuongoza kishamba kishamba tuh,hata kina nape na kinana walipodukuliwa walisikika wakisema kuwa JAMAA NI MSHAMBA SANA...!!
Sijamtaja rais yeyote wa nje ya Tanzania,uwe unaelewa kabla ya kukurupuka kama Nguruwe pori pia bado rais Samia halazimiki kumuiga yeyote hivyo bado nasema ni ulimbukeni kwa rais asiye mwanajeshi na hatawali kijeshi kuvaavaa mi combat.
Nimekupata kwa jicho la tatu.Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??
Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Unagombana na hayati?
Upuuzi mtupu
Na hao watatu uliowataja wasiowahi kuvaa magwanda ndio ambao hawakuwa na fighter's mentality katika urais wao. Hao wa3 waliamini hii nchi isingeweza kwenda bila kutembeza bakuli kwa wanaume wenzao.Kuhusu Nyerere kama alivaa huko nyuma na hasa kutokana na harakati zake za kuwaunga mkono wapigania uhuru wengine wa Afrika lakini kuanzia Mwinyi,Mkapa na Jk hakuna wakati wowote kwenye tukio lolote wamewahi kuvaa Combat.
Ndiyo maana Mungu ameingilia kati maana jamaa alikuwa anaivuruga tu nchi.
Na hao watatu uliowataja wasiowahi kuvaa magwanda ndio ambao hawakuwa na fighter's mentality katika urais wao. Hao wa3 waliamini hii nchi isingeweza kwenda bila kutembeza bakuli kwa wanaume wenzao.
Kwa hiyo Ikulu alikuwa kwa ajili ya kutengeneza maisha ya familia yake na sio ya Watanzani wote hasa wale aliowaita wanyonge?Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
Rais anatakiwa kufuata katiba, si kama anavyotaka tuu. Ila ishu ya mavazi habanwi. Hayo ya kijeshi ni utashi wa mtuSio lazima. Mkuu wa nchi anaishi anavyotaka. si kwa matakwa ya watu fulani
Oops..SASA kupiga Kura na kuchaguana kidemokrasia kama wanavyofanya Marekani Sisi inatuhusu nini?!Kenyatta anatuhusu nini watanzania, mnatafuta uhalali wa kumtetea yule mfu limbukeni!
Huyo Faiza ningefurahi kama wangempiga moneylaundary moja ya kibabe😃... kweli jiwe alipoteza watu; hizi id's sijui zilipotelea wapi. Nje kumekuwa shwari sasa kila mmoja anatoka shimoni. Juzi Faiza naye kaonekana!
Hii kauli ya kujimilikisha fedha za serikali ndo ilikuwa inakera sanaSwala la kutembeza bakuli ni jambo lisiloepukika kwa uchumi wa nchi yetu hata huyo Magufuli aliyekuwa anaongopa kutekeleza miradi mikubwa kwa fedha za ndani ndiye amekopa fedha nyingi katika kipindi kifupi cha utawala wake kuliko rais yeyote aliyepita,mradi pekee uliotumia fedha za ndani kwa 100% ni ununuzi wa ndege tu lakini maeneo mengine kwa sehemu kubwa ama tumekopa ama tumepokea asilimia fulani ya ufadhili sema yeye tofauti yake na wenzake ilikuwa ni kujikweza ndio maana hata serikali ikipeleka fedha sehemu akijinadi ni fedha zake yaani kama yeye ndiye alikuwa akiifadhili serikali.
Hivi Wewe jamaa umewahi kurogwa??.Rais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
Hapa namtetea hase alikuwa anatania tu,Ha ha ha,kuna video clip inamuonesha akitokea kwenye mazish ya benjamin mkapa,akasimama Rufiji wananchi walikuwa wanaomba wshughulikiwe barabara,yeye amesimama kwenye gar huku anakula hindi anasema ..'MNATAKA KUPANULIWA??KWAHIYO HAPA SHIDA YENU NYINYI KUBWA NI KUPANULIWA TUH SIYO,HUKU ANATANUA TANUA MIKONO YAKE KWA ISHARA YA KUPANUA,Hakika tulipatikana Sana...alikuwa mdwanzi sana