Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Kwahiyo kwa sababu Kikwete havukaa hivyo na Magufuli alitakiwa amgeze Kikwete? sasa si ujinga huo,nina hakika kama sio kujistiri basi Mama Samia angevaa hizo gwanda ili kuonesha kuwa ni Amiri jeshi mkuu pamoja na kuwa ni mwanamke.
Sidhan kama Mama ana ushamba kama wa Jiwe
 
Sasa umesikia nimeomba chochote kwake! Najimudu kwa kiasi nilichaajiriwa mimi siwezi mapambano aliyoyafanya yeye(kuuwa watu na kudhulumu haki za wengine) eti ili tu nipate mapesa mengi yatakayokuja kutumiwa hadi ma vitukuu vyangu.
Unagombana na hayati?

Upuuzi mtupu
 
Rais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
Uhuru Kenyatta
 
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??

Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Kwani rais Kikwete kipindi alipokuwa madarakani aliwahi kuvaa?
Nakumbuka kuna siku mkuu Kiranga ulinielekeza kuhusu Political science, naomba umfafanulie na huyu mtoa mada.
[emoji120]
 
Alikuwa mshamba kweri kweri,

Unaanzaje kubeba wanyama mbugani na kupeleka kwenu kutengeneza mbuga yenu??

Hata nchi alitaka kuongoza kishamba kishamba tuh,hata kina nape na kinana walipodukuliwa walisikika wakisema kuwa JAMAA NI MSHAMBA SANA...!!
Ndiyo maana Mungu ameingilia kati maana jamaa alikuwa anaivuruga tu nchi.
 
Sijamtaja rais yeyote wa nje ya Tanzania,uwe unaelewa kabla ya kukurupuka kama Nguruwe pori pia bado rais Samia halazimiki kumuiga yeyote hivyo bado nasema ni ulimbukeni kwa rais asiye mwanajeshi na hatawali kijeshi kuvaavaa mi combat.

Yule mshamba,alipomuona kagame na museveni wamevaa akaona kwann nayeye asivae,we hukumbuki alipoingia MADARAKANI hao jamaa walikuwa washkaj zake Sana??

Nadhan alitaka kuiga iga tuh,na hata kenyatta pia amewahi kubwa,lakin siyo shart kwamba eti mama nae aige ulimbukeni wa meko, binafs sion meko ana nin cha maana Cha kumuiga KWA ile roho mbaya yake,labda mama aige kupiga zile push ups...maana mazoez yale ni muhim Sana kiafya,labda tuige kile tuh
 
Siyo kila kitu ni cha majaribio/kufanyia majaribio mjomba, vingine viache vipite kama vilivyopita.
 
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??

Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Nimekupata kwa jicho la tatu.
 
Unagombana na hayati?

Upuuzi mtupu

Hagombani nae,wanasema Hayati hasemwi..!!yeye anaua huo mwiko,Hayati alikuwa katili na mwenye roho mbaya aliejificha kwenye ngozi ya kondoo ya uzalendo kumbe alikuwa boya tuh,so lazima achanwe kuweka kumbu kumbu sawa,hata akitokea pimbi mwingine ajue kuwa haya maisha ni mafupi na ni kitu Cha kupita tuh,asijione yeye ndo kila kitu,haya sasa yuko wapi??
 
Kuhusu Nyerere kama alivaa huko nyuma na hasa kutokana na harakati zake za kuwaunga mkono wapigania uhuru wengine wa Afrika lakini kuanzia Mwinyi,Mkapa na Jk hakuna wakati wowote kwenye tukio lolote wamewahi kuvaa Combat.
Na hao watatu uliowataja wasiowahi kuvaa magwanda ndio ambao hawakuwa na fighter's mentality katika urais wao. Hao wa3 waliamini hii nchi isingeweza kwenda bila kutembeza bakuli kwa wanaume wenzao.
 
Ndiyo maana Mungu ameingilia kati maana jamaa alikuwa anaivuruga tu nchi.

Ha ha ha,kuna video clip inamuonesha akitokea kwenye mazish ya benjamin mkapa,akasimama Rufiji wananchi walikuwa wanaomba wshughulikiwe barabara,yeye amesimama kwenye gar huku anakula hindi anasema ..'MNATAKA KUPANULIWA??KWAHIYO HAPA SHIDA YENU NYINYI KUBWA NI KUPANULIWA TUH SIYO,HUKU ANATANUA TANUA MIKONO YAKE KWA ISHARA YA KUPANUA,Hakika tulipatikana Sana...alikuwa mdwanzi sana
 
Na hao watatu uliowataja wasiowahi kuvaa magwanda ndio ambao hawakuwa na fighter's mentality katika urais wao. Hao wa3 waliamini hii nchi isingeweza kwenda bila kutembeza bakuli kwa wanaume wenzao.

Sasa huyu mwendazake kafanya vip??

Kila siku kutuongopea kuwa nchi hii ni tajir na tunajiendesha KWA pesa zetu za ndani kumbe anakopa kopa huko nje,deni la Taifa limeongezeka Mara dufu katika kipind chake kifupi alichokaa mwendazake
 
Wewe na huo ujanja wako una nn?hiiiii eti mshamba mwenzako alipambana akatengeneza maisha mpaka ya watoto wa vitukuu vyake unamuita mshamba Wewe na ujanja wako nani mshamba hapo?
Kwa hiyo Ikulu alikuwa kwa ajili ya kutengeneza maisha ya familia yake na sio ya Watanzani wote hasa wale aliowaita wanyonge?
 
Sio lazima. Mkuu wa nchi anaishi anavyotaka. si kwa matakwa ya watu fulani
Rais anatakiwa kufuata katiba, si kama anavyotaka tuu. Ila ishu ya mavazi habanwi. Hayo ya kijeshi ni utashi wa mtu
 
Kenyatta anatuhusu nini watanzania, mnatafuta uhalali wa kumtetea yule mfu limbukeni!
Oops..SASA kupiga Kura na kuchaguana kidemokrasia kama wanavyofanya Marekani Sisi inatuhusu nini?!
 
... kweli jiwe alipoteza watu; hizi id's sijui zilipotelea wapi. Nje kumekuwa shwari sasa kila mmoja anatoka shimoni. Juzi Faiza naye kaonekana!
Huyo Faiza ningefurahi kama wangempiga moneylaundary moja ya kibabe😃
 
Swala la kutembeza bakuli ni jambo lisiloepukika kwa uchumi wa nchi yetu hata huyo Magufuli aliyekuwa anaongopa kutekeleza miradi mikubwa kwa fedha za ndani ndiye amekopa fedha nyingi katika kipindi kifupi cha utawala wake kuliko rais yeyote aliyepita,mradi pekee uliotumia fedha za ndani kwa 100% ni ununuzi wa ndege tu lakini maeneo mengine kwa sehemu kubwa ama tumekopa ama tumepokea asilimia fulani ya ufadhili sema yeye tofauti yake na wenzake ilikuwa ni kujikweza ndio maana hata serikali ikipeleka fedha sehemu akijinadi ni fedha zake yaani kama yeye ndiye alikuwa akiifadhili serikali.
Hii kauli ya kujimilikisha fedha za serikali ndo ilikuwa inakera sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Rais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
Hivi Wewe jamaa umewahi kurogwa??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha,kuna video clip inamuonesha akitokea kwenye mazish ya benjamin mkapa,akasimama Rufiji wananchi walikuwa wanaomba wshughulikiwe barabara,yeye amesimama kwenye gar huku anakula hindi anasema ..'MNATAKA KUPANULIWA??KWAHIYO HAPA SHIDA YENU NYINYI KUBWA NI KUPANULIWA TUH SIYO,HUKU ANATANUA TANUA MIKONO YAKE KWA ISHARA YA KUPANUA,Hakika tulipatikana Sana...alikuwa mdwanzi sana
Hapa namtetea hase alikuwa anatania tu,

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom