Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

Sasa umesikia nimeomba chochote kwake! Najimudu kwa kiasi nilichaajiriwa mimi siwezi mapambano aliyoyafanya yeye(kuuwa watu na kudhulumu haki za wengine) eti ili tu nipate mapesa mengi yatakayokuja kutumiwa hadi ma vitukuu vyangu.
Unajihesabia haki bure Tu mkuu

Maovu unayofanya behinde the scene Tyr yanatosha kukufanaya uwe mdhambi pia.Tofauti yako na yake ni yeye kuwa maarufu Tu,lkn swala la dhambi Sisi sote tunafanya dhambi.

Aliishi duniani na mwanadamu wa kawaida km sisi,hatukupaswa tumchukulie km malaika

Hata hao mnaowatolea mifano hawakuua km yeye,kuna uwezekano waliua watu wengi zaidi Kwa ufisadi walioufanya..watu tulikosa huduma Bora za afya tukafa ,pesa za kujenga barabara wakapiga,Kwa ubovu wa barabara tukapata ajali tukafa nk nk....

"Yeyote asiye na dhambi na awe wa Kwanza kutupia JIWE"
Hebu tutoke huku kwenye kumuhukumu kila dakika


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda ??

Japo kwenye sikuku ya Eid avalie hayo magwanda tupige nae picha wakati tnaenda kupokeamkono wa eid. hebu avae tumuone ! Turizike tu ,mana sijaamini kama Mkuu wetu wa majeshi pia ni mwananke.
Siyo lazima. Hana hulka hiyo.
 
Kwa kuteka watu, kuwaua, kuwatia magerezani, kuminya uhuru wa habari, kueneza chuki za kikabila na kikanda, ubaguzi wa kisiasa, roho mbaya, chuki, ukatili dhidi ya binaadam, ujambaz wa pesa za umma, matumizi mabaya ya madaraka, kuwadhalilisha wanamama na kauli za ngono ngono, yani yule jizi anatakiwa atengenezewe moto wa peke yake huko anapoungua na moto sasa hivi
Mhujumu Uchumi,mwogope Mungu,shauri yako.Maana kipimo unachompimia mwenzako ndicho utakachopimiwa.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hiyo hoja yako inahusika vipi na mada tunayoijadili! Ebu tuliza akili wewe msukuma.
Hahaha... unahitajika kuwa na depth na uharaka wa kufikiri ili unielewe...hatuna haja ya kuleta hoja za kina Msukuma, kibajaji and etal against muhongo and co kwenye jukwaa hili...jukwaa hili halina vigezo kama vile kujua kusoma na kuandika ili uwe member...humu unaenguliwa au kuwa sidelined na hoja au mabandiko yenye falsafa fichwa...hujui hujui..huwezi huwezi.. tofauti inajitokeza kwenye staha, uvumilivu na utulivu wa members.
 
Umeambiwa kuna kupumzika huko! Yaani wewe uwe dikteta hapa duniani halafu utegemee mapumziko kwa Mungu,thubutu.
Chill Man... inaelekea Una hate kubwa Sana rohoni kwako...the guy is gone..get over it and move on...
 
Rais gani mwingine aliwahi kuvaa uniform za jeshi kwenye shughuli kama ile zaidi ya yule aliyekuwa anajifanya mjuaji wa kila kitu kwahiyo mnataka aige kila kilichofanywa na huyo mtu wenu , mkae mkijua mtu wenu alikuwa mshamba na asiyejiamini yaani ni limbukeni.
Wewe ambae unajiona mjanja una nini au umeifanyia jamii yako nini?
Sana sana unaleta hasara hapo kwa shemeji yako.
 
Sidhan kama Mama ana ushamba kama wa Jiwe
Ushamba ni jambo la kawaida,kitu chochote ambacho hujakizoea lazima uwe na ushamba nacho, hata Mama nae kipindi hiki kuna baadhi ya mambo ana ushamba nayo ndio anakutana nayo sasa hivi kwenye hiyo nafasi aliyekuwepo.
 
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Raisi Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubir alipotokeza nikazani ni yule Raisi Nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Raisi au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali Ya Jamhuri ya Muungano yaTz ,kwa nini hakuvaa magwanda?...
Acha kuota pamekucha
 
Hayati katili na dhulumati alijifanya mungu mtu sasa Mungu wa kweli kampaisha mawinguni😂😂😂
Wamekufa mitume wa Mungu tena kwa kuuliwa ndio itakuwa Magufuli, ingekuwa kuendelea kuishi bila kufa ni bora sana basi mitume ingebaki hadi leo.
 
Hagombani nae,wanasema Hayati hasemwi..!!yeye anaua huo mwiko,Hayati alikuwa katili na mwenye roho mbaya aliejificha kwenye ngozi ya kondoo ya uzalendo kumbe alikuwa boya tuh,so lazima achanwe kuweka kumbu kumbu sawa,hata akitokea pimbi mwingine ajue kuwa haya maisha ni mafupi na ni kitu Cha kupita tuh,asijione yeye ndo kila kitu,haya sasa yuko wapi??
Hakuna anayewasikiliza ninyi mnapiga kelele za tu ambazo hazina athari zozote kwa hao viongozi, Kikwete kafanya yake kamaliza kampumzika na Magufuli alifanya yake hadi umauti ukamkuta na Mama nae atafanya yake hadi mwisho wake basi, nyie mtabaki kupiga kelele na kujiongezea stress tu.
 
Bahati mbaya hatuonani na hatufahamiani hivyo sina namna ya kukufanya uamini maneno yangu,katika maisha yangu ukiacha nyumbani kwa wazazi wangu sijawahi kuishi sehemu nyingine yoyote iwe kwa ndugu yeyote achilia mbali huyo unayemuita shemeji nimetoka kwetu nimeamia kwangu na kwa bahati nzuri kwa umri wangu kwa sasa hata ningekuwa lofa kabisa kabisa isingewezekana kuwa mtegemezi kwa mtu,kwa mawazo yako hayo ni dhahiri huna umri wa kutosha kujadili kuhusu maisha tubishane tu hizi hoja nyingine.
Sasa cha kujiona wewe mjanja na Magu kuwa mshamba ni kipi ?
 
Hata mwizi,haramia, tapeli au jambazi mwenye mafanikio naye anaweza kuuliza wale walio na maadili, kuwa maadili yao yamewapa nini? Kwa hiyo tujisikie vibaya kuwa na sifa njema kwa sababu wenye sifa za uovu wanafanikiwa? Unaweza kumuonea shetani wivu kwa sababu wewe utakufa na shetani anaendelea kuwepo mwisho wa Dunia?

Kilinge
Kwani nataka ligi basi mkuu huo ni ukweli mchungu pambania hali yako ndugu yangu kila mwanasiasa yuko kazini pale ndipo wanapatia mkate wao wako kazini asikiaye na afahamu...humu duniani hakuna mkamilifu Mimi ni mdhambi na wewe ni mdhambi tusihukumiane..
 
Mkuu mimi nilidhani labda kufa kwa Magufuli basi hawa waliyokuwa wanamchukia watapata tulizo la nafsi ila wapi, yani bado Magufuli anawasumbua hadi hivi sasa akiwa marehemu.
Wapuuzi tu.

Wengine hata ukiwauliza wanamchukia kisa nini hawana jibu
 
Back
Top Bottom