Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Unajihesabia haki bure Tu mkuuSasa umesikia nimeomba chochote kwake! Najimudu kwa kiasi nilichaajiriwa mimi siwezi mapambano aliyoyafanya yeye(kuuwa watu na kudhulumu haki za wengine) eti ili tu nipate mapesa mengi yatakayokuja kutumiwa hadi ma vitukuu vyangu.
Maovu unayofanya behinde the scene Tyr yanatosha kukufanaya uwe mdhambi pia.Tofauti yako na yake ni yeye kuwa maarufu Tu,lkn swala la dhambi Sisi sote tunafanya dhambi.
Aliishi duniani na mwanadamu wa kawaida km sisi,hatukupaswa tumchukulie km malaika
Hata hao mnaowatolea mifano hawakuua km yeye,kuna uwezekano waliua watu wengi zaidi Kwa ufisadi walioufanya..watu tulikosa huduma Bora za afya tukafa ,pesa za kujenga barabara wakapiga,Kwa ubovu wa barabara tukapata ajali tukafa nk nk....
"Yeyote asiye na dhambi na awe wa Kwanza kutupia JIWE"
Hebu tutoke huku kwenye kumuhukumu kila dakika
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app