Kwanini Anna Makinda na Mizengo Pinda hawajaweza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara?

Hakuna kitu kama hicho,endeleeni na upuuzi wenu huko CDM.
Hao wawili walikuwa waangalizi maalum wa SADC walioteuliwa na RAIS kwenye misheni za uchaguzi,walienda kutoa ripoti zao Ikulu ndogo ya Tunguu,znz!
Yaani unakaa unatunga mwenyewe Uongo halafu unataka maoni ya watu!
MBOWE must go!
 
Hivyo vyeo sumu nje nje ,bado wanataka kuwalea wajukuu zao.
 
Labda waliitwa kushauri na kupendekeza nani angefaa!
 
Uongo !!!!!!! Nimemuuliza Mama Makinda akabisha
 
Chai
 
r/l, can't you differentiate these two alphabets?
 
Siyo ving'ang'anizi wa Madaraka kama Sultan Mbowe ๐Ÿผ
 
Nilidhani una TETESI za kitushirikisha kumbe unafuta wapiga ramli?
 
Mimi nafikiri sababu ni zilezile za Lissu pamoja na kuitwa na kuambiwa asigombee nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa na akagoma na akagombea!
 
Kuna mtoto wake mmoja alikuwa campaign manager wake ubunge..kasoma USA..Yuko wapi now?
 

Hawataki kuwa sehemu ya UHUNI unaoendelea chini ya awamu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ